cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
JamaniKinachonifurahisha ni kwamba sitaoa Africa else ningeua mtu kabla jogoo hajawika.
A black woman then a single mom surpasses an atomic bomb.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JamaniKinachonifurahisha ni kwamba sitaoa Africa else ningeua mtu kabla jogoo hajawika.
A black woman then a single mom surpasses an atomic bomb.
Kuna kitu kinaitwa kutamani;wengine wameingia kwenye ndoa na hawajawahi kufika kileleni,inabidi warudi walikotoka ili wapate wanachohitaji.Inawezekana ni kweli hajatumia akili kurudiana na baba watoto wake
Lakini kimsingi hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayependa kuzaa na wanaume tofauti tofauti,halafu mapenzi yana nguvu kuliko akili
Mkuu vipi kuhusu wanaume wenye watoto nje ya ndoa wao ndiyo wanafaa kuoa maana hawafanyi usaliti??Yaani hata kitaa ukidata kwa single mother, unawezakosa hata support kutoka kwa wazazi, ndugu na jamaa. Maana watu wanajua madhara yao kwenye ndoa.
Si waaminifu kabisa. Muda wowote wanasaliti. Wanajifanya wanajua techniques za usaliti.
Acha kukariri maisha mkuu!!
Kuna kitu kinaitwa kutamani;wengine wameingia kwenye ndoa na hawajawahi kufika kileleni,inabidi warudi walikotoka ili wapate wanachohitaji.
Sawa ila mimi nimekariri USIOE SINGLE MOTHERAcha kukariri maisha mkuu!!
Inategemea mkuu,lakini kwa asilimia kubwa huwa naona ni kutoshelezwa kwenye tendo pamoja na mahitaji ya msingi/muhimu.Wengine ni upendo kuwepo kwa wapenzi wa zamani
Inategemea mkuu,lakini kwa asilimia kubwa huwa naona ni kutoshelezwa kwenye tendo pamoja na mahitaji ya msingi/muhimu.
Ni kweli nakubaliana naweYote yanawezekana arif manake mapenzi hayanaga formula
Wengine ni upendo kuwepo kwa wapenzi wa zamani