Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Shida ya single mothers wengi wanakua wadhaifu kwa wazazi wenzao ila ushauri wako ni mzuri sanA

Sent using Jamii Forums mobile app
Single mother kuwa dhaifu kwa mzazi mwenzie ni kitu ambacho unakijua na unaweza kudeal nacho kwa kwa wewe kusimama kwenye nafasi yako huo udhaifu usiwepo.
Sasa wale wale wasio single mother ambao baadhi wana udhaifu kwa kila mwanaume inakuaje!? Wanaume msituache tujiongoze wenyewe akili zetu hata Mungu alizijua ndio maana aliniambia tuwe wasaidizi na sio vichwa hahaha
 
KABLA hujamuoa single maza hakikisha umeoneshwa kaburi la baba mtoto wake.
 
Single mother kuwa dhaifu kwa mzazi mwenzie ni kitu ambacho unakijua na unaweza kudeal nacho kwa kwa wewe kusimama kwenye nafasi yako huo udhaifu usiwepo.
Sasa wale wale wasio single mother ambao baadhi wana udhaifu kwa kila mwanaume inakuaje!? Wanaume msituache tujiongoze wenyewe akili zetu hata Mungu alizijua ndio maana aliniambia tuwe wasaidizi na sio vichwa hahaha
nihangaike na yote hayo ya nini?? nahitaji kitu kimoja tu kwa mwanamke,yaani pussy na ndo hicho tu kinachonifanya nimuapproach mwanamke,hayo mambo mengine ya kumjali na kumuongoza mwanamke nawaachia watu wanaocomplicate maisha,mambo ya kukaa na mwanamke mmoja miaka 5 au 10,siwezi,nakula mzigo mwaka mmoja/miwili nakula kona, maisha sio magumu kiasi hicho

Wanaume wasiotaka majukumu wanazidi kuongezeka
 
[emoji23][emoji23]dah! Kuna wakati nilimpata dada mmoja "single mother "

Washkaji wakajua kama niko naye kwenye love.
Dah! Sikuamini yaani! Kila mtu alikuwa anatoa hoja yake na jina lake!
1. Single mother !
2. Kiwanja chenye migogoro!
3. Kwamba nanunua soda dukani iliyokwishfunguliwa!
4. Nanunua gazeti jioni!
5. Na mengine mengi.
Yaani kila mtu anatoa jina na kulitetea point yake. Nilibaki Naendelea naye kiroho ngumu sana.

Uzuri wa bahati dada alipata kazi mkoa mwingine na mawasiliano yakafubaa!

Kuanzia hapo, niliapa kutowaambia watu endapo nitapata mchumba ambaye ni single mother . Nitafanya uchunguzi wangu mwenyewe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mwenye mtoto hatorudi unaweza kwenda nae sawa. Shida ni kuwa mwenye mtoto akirudi wanakosa msimamo.
 
Dunia ya sasa imebadilika sana. Bibi na mama zetu kipindi hicho waliishi kwa mateso na vipigo. Nakumbuka jirani yetu alikuwa anapiga mke wake ngumi na mateke kwahiyo ile iliwaumiza sana watoto wa kiume kuona wazazi wao wa kike wanapigwa kwahiyo kutokana hali ile wanaume wa sasa tunajitahidi kuishi wanawake zetu kwa kuwatunza na kutowapiga ngumi na mateke. Sasa hilo wanawake wengi hawalijui wanaona kama sisi ni dhaifu. Ukiishi na mwanamke anataka uwe unamkaripia, unamtukana, unampinga ngumi nk anapokosea. Sisi ni watu wazima lazima tujue mipaka na heshima ya ndoa. Sasa umeolewa halafu unaleta dharau na nyodo unataka nikupige mateke na mangumi ili uwe na tabia njema? Siyo kama tunawaogopa ila tunachagua wanawake ambao ni "waelewa"
Wanaume msiwaogope wanawake nyie mlipewa mamlaka ya kuwaongoza.
 
kuna NGO's siku hizi ukimgusa tu anakuweka ndani.
Tena kama polisi ukimpiga tu mkeo akishitaki hawakusikilizi kwa lolote utalala tu ndani.
 
Habari wana jamvi wa JF,

Twende moja kwa moja kwenye mada, miaka miwili nilikua mkoa X ambapo katika ujana nikapata mtoto wa kiume nilivyohama mkoa X na kuja mkoa Y, nikabaki kulea mtoto wangu aliyeko mkoa X.

Hilo sio tatizo wala sio lengo la uzi huu, miezi mitatu imepita nimeangukia kwa single mother katika mkoa Y na nashindwa kujichomoa kabisaaa na kila nikisoma thread za single mothers humu jamvini naishiwa nguvu ila huyu single mother yupo poa na inaonekana alipata pregnant kwa bahati mbaya...na ananipenda snaaa...

Ushauri, nimchukue single mother wa mkoa Y au ni bora nikomae na mwenzangu wa mkoa X japo kuna vitu anamiss kwa matumizi ya mke.

Ukiona niwamwage wote njoo PM..kwa KE only.

Karibuni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ma X na Y ndo maujinga yenyewe..haya chukua Y utafute thaman ya X.
 
ukikuta watu humu wanashauriana kupata watoto bila ndoa na ukirudi humu tena unakuta watu hawataki single mothers. Jf 😂😂😂😂
 
Hichi ndicho kinachowapa kiburi wanawake. Wanawake wengi wanauliwa kwasababu ya midomo michafu mfano yule jamaa aliyempiga risasi mkewe, aliyemuua mhadhiri wa chuo kikuu na jamaa aliyemchoma mkewe gunia mbili za mkaa. Mwanamke anadharau na kiburi na hayupo kiumbe chochote kinachomfikia mwanamke kwa dharau na kiburi. Upo naye ndani anakutukana + kukuchamba + anakuonesha dharau na kiburi na ukimwambia acha anakuambia utanifanya nini wewe mwanaume suruali? Sasa hapo awe ana kazi yake inayomuingizia pesa na awe na mchepuko nje. Aise kama una roho nyepesi lazima uue mtu na yote anayofanya kwasababu kuna kuna sheria inamlinda na akienda kukushitaki tu wewe unawekwa selo bila hata kujitetea. Kwanini tuhangaike na hayo yote "Lazima tuchague wanawake waelewa". Ukimuona haeleweki unapiga chini sababu NDOA NI YA MWANAUME
kuna NGO's siku hizi ukimgusa tu anakuweka ndani.
Tena kama polisi ukimpiga tu mkeo akishitaki hawakusikilizi kwa lolote utalala tu ndani.
 
Back
Top Bottom