Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

Mkuu tupe story kidogo
[emoji1][emoji16][emoji1][emoji16]ni story ndefu sana mno.
Nimekua nao mda mrefu sana.
Inahitaji muda wa kutosha kuandika habari zao humu.
Mwakipande ndo mtaalamu wao alowafundisha hayo mambo.

Mwandulami ni mmojawapo wa watu hatari(sasa marehemu pia) hao wamewawezesha sana wakinga na wengineo kuwa matajiri.


Nitarudi tena.........
 
Tetesi hizo zipo na inawezekana ikawa kweli,kwanini wazushiwe wao tu?
 
Kasisi huyo, kuna siku nimemkuta anasimamia ujenzi nikahisi ni kibarua kumbe ndo boss, kavaa ndala na pensi ya jeans ilyokatwa,yaani Nina pesa hata kuvaa nisivae vizuri?
Kuna siku mjomba wangu kanunua bidhaa dikani kwake. Mara akamuona akadhani ni wale vibarua wa kubeba mizigo. Alumuita na Kasisi akaja, alabeba mizigo kupakia kwenye basi. Wakati wa malipo akakataa lupokea fedha.

Mjomba akashangaa ndipo watu wakamuambia huyo ndiye tajiri wewe nenda tu
 
Ukirudi nitag mkuu
 
Hii ubongo wako unakuaminisha ivyo Mana labda mmezidiwa. Yaani akifanikisha mwingine mwizi ama kafara Ila ukifanikisha wewe Ni mjanja. Ubongo una kitu kinaitwa self service
Wewe umeshaua mama yako na kumfanya msukule yuko chumba cha peke yake anahesabu mahela tu. Eti tumezidiwa?? Tumezidiwa nini? Mnaishi maisha ya kifala sana huku mnamiliki majumba na utajiri! Vya kazi gani?
 
Wewe umeshapambana siyo. Tuambie umepata nini baada ya kupambana?
 
Wewe umeshapambana siyo. Tuambie umepata nini baada ya kupambana?
Hata nikisema haitakusaidia chochote
Nimepambana sana kwa miaka zaidi ya 40
Leo wanangu hawana dhiki na mimi nakula maisha huku bado napambana
Kuna bank holidays 2 mwezi may nategemea moja niende Berlin na nyingine ijayo Amsterdam
Kuna lingine boss?
Sio kujisifu bali maisha nayamudu
 
Dah! Kuna siku nyingine nilikua ubungo nyuma ya kibadamo hotel kuna hotel nyingine kuna jamaa wa makamo hivi katoka hotelini kaingia kwenye Carina To chini kavaa katambuga zile za matairi nikasema yaani huyu hawezi kununua sendo za 25k kweli hadi avae matairi? Nikaambiwa ni mkinga na ndo mwenye hii hotel, yaani hotel ya gorofa 4, kuna rafiki yangu tumesoma nae tulipokua form 4 yeye tayari anaendesha mark11 grande mpya na anafanya biashara ni mkinga anaitwa Fred na yupo humu jf nikitaja ubini atanitambua na ndo anayotumia kama I'd humu jukwaani tumesoma mbeya nilimuuliza pesa anatoa wapi akanieleza kuwa sisi tunadini yetu kama uko tayari nikuunge utakua na pesa lakini lazima utoe kafara na hata hivi leo tunavyozungumza kuna msiba wa baba mdogo tunaenda kuzika makete, sasa hivi yupo kariakoo hapo ana mawe balaa,sema yy sioni kama anamasharti ya kuvaa na kula bata.
 
Hafahamu kama uko mbele toka miaka ya 70s, of course biashara za kiafrika na ushirikina hazipishani lakini ushirikina sio kigezo cha mafanikio na sio wote waliofanikiwa basi wamepitia huko, wakinga wapo wanaopitia hizo ndagu ila siri nyingine ya wakinga wanamiliki maekari ya miti mikaratusi na mipaina so unaweza kuona mtu anabiashara ya kawaida kumbe ana hekari 100 za miti baada ya miaka 8-10 akipasua mbao tayari anapata mtaji was kuanzisha biashara kubwa kariakoo.
 
Hii nayo ni sababu ya msingi sana ambayo haisemwi. Uchawi usukumani karibu kila familia inamganga na kila kitu hata kuandaa shamba lazima waloge. Misukule ya kutosha lakini wengi wanaungaunga tu.
 
Dogo unaumia ukiwa wapi?
 
Hii nayo ni sababu ya msingi sana ambayo haisemwi. Uchawi usukumani karibu kila familia inamganga na kila kitu hata kuandaa shamba lazima waloge. Misukule ya kutosha lakini wengi wanaungaunga tu.
Katika kundi la wasukuma 10 basi 9 wana chale maeneo mbalimbali ya miili yao, ila wasukuma ndo kabila pekee Tanzania unaoweza kuishi nao na mkapiga Moshe vizuri kabisa hawana wivu wala roho mbaya wala ubaguzi wa dini,kabila au ukanda tofauti na makabila kama wachaga,wahaya,wambulu
 
Umemaliza kila kitu,mimi ni mhanji karibu na wamkinga kabila dogo sana huwa tunasema ni wakinga pia, Sina pesa sababu Sina mambo ya kando ila najua kwa nguvu zangu na Mungu wangu ipo siku nitatoboa pia,mambo yanaenda yanabadilika wengine wazazi wetu walikataa pesa za hivyo hivyo hatukurithishwa mambo hayo sio kila mkinga ni mchawi kuna kipindi mtu akiniuliza kabisa gani huwa nasema mtanzania maana hawakawii kukuambia mchawi mbele za watu
 
Wanyantunzu ndo wanaofuatia nyuma ya wakinga then wachama nenda machame uone idadi ya machizi na mataira mwisho waha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…