Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

Mkuu tupe story kidogo
[emoji1][emoji16][emoji1][emoji16]ni story ndefu sana mno.
Nimekua nao mda mrefu sana.
Inahitaji muda wa kutosha kuandika habari zao humu.
Mwakipande ndo mtaalamu wao alowafundisha hayo mambo.

Mwandulami ni mmojawapo wa watu hatari(sasa marehemu pia) hao wamewawezesha sana wakinga na wengineo kuwa matajiri.

Nitarudi tena.........
 
Tetesi hizo zipo na inawezekana ikawa kweli,kwanini wazushiwe wao tu?
 
Kasisi huyo, kuna siku nimemkuta anasimamia ujenzi nikahisi ni kibarua kumbe ndo boss, kavaa ndala na pensi ya jeans ilyokatwa,yaani Nina pesa hata kuvaa nisivae vizuri?
Kuna siku mjomba wangu kanunua bidhaa dikani kwake. Mara akamuona akadhani ni wale vibarua wa kubeba mizigo. Alumuita na Kasisi akaja, alabeba mizigo kupakia kwenye basi. Wakati wa malipo akakataa lupokea fedha.

Mjomba akashangaa ndipo watu wakamuambia huyo ndiye tajiri wewe nenda tu
 
[emoji1][emoji16][emoji1][emoji16]ni story ndefu sana mno.
Nimekua nao mda mrefu sana.
Inahitaji muda wa kutosha kuandika habari zao humu.
Mwakipande ndo mtaalamu wao alowafundisha hayo mambo.

Mwandulami ni mmojawapo wa watu hatari(sasa marehemu pia) hao wamewawezesha sana wakinga na wengineo kuwa matajiri.

Nitarudi tena.........
Ukirudi nitag mkuu
 
Hii ubongo wako unakuaminisha ivyo Mana labda mmezidiwa. Yaani akifanikisha mwingine mwizi ama kafara Ila ukifanikisha wewe Ni mjanja. Ubongo una kitu kinaitwa self service
Wewe umeshaua mama yako na kumfanya msukule yuko chumba cha peke yake anahesabu mahela tu. Eti tumezidiwa?? Tumezidiwa nini? Mnaishi maisha ya kifala sana huku mnamiliki majumba na utajiri! Vya kazi gani?
 
Mswahili kumuaminisha kuwa anaweza bila uchawi, ni ngumu sana kwani 90% wanaamini ushirikina ingawa wengi wanachifanya kumuamini Mungu ila wanaigiza sana

Hamiwezi kuendelea kana mnaamini kafara wee ziba masikio pambana na hali yako na uwe na malengo
Hayo makafara ndio yanawafanya hata wenye elimu wanaamini ujinga huo badala ya kubuni au kuanzisha miradi yao endelevu

Vijana huko Kenya, Ug na hata Ghana wanapambana haswa na wapo wenye pesa haswa
Ila mswahili anaona kuanza kitu from scratch ni ngumu lazima aende kwa mganga asiekua hata na million 5
Wewe umeshapambana siyo. Tuambie umepata nini baada ya kupambana?
 
Wewe umeshapambana siyo. Tuambie umepata nini baada ya kupambana?
Hata nikisema haitakusaidia chochote
Nimepambana sana kwa miaka zaidi ya 40
Leo wanangu hawana dhiki na mimi nakula maisha huku bado napambana
Kuna bank holidays 2 mwezi may nategemea moja niende Berlin na nyingine ijayo Amsterdam
Kuna lingine boss?
Sio kujisifu bali maisha nayamudu
 
Kuna siku mjomba wangu kanunua bidhaa dikani kwake. Mara akamuona akadhani ni wale vibarua wa kubeba mizigo. Alumuita na Kasisi akaja, alabeba mizigo kupakia kwenye basi. Wakati wa malipo akakataa lupokea fedha.

Mjomba akashangaa ndipo watu wakamuambia huyo ndiye tajiri wewe nenda tu
Dah! Kuna siku nyingine nilikua ubungo nyuma ya kibadamo hotel kuna hotel nyingine kuna jamaa wa makamo hivi katoka hotelini kaingia kwenye Carina To chini kavaa katambuga zile za matairi nikasema yaani huyu hawezi kununua sendo za 25k kweli hadi avae matairi? Nikaambiwa ni mkinga na ndo mwenye hii hotel, yaani hotel ya gorofa 4, kuna rafiki yangu tumesoma nae tulipokua form 4 yeye tayari anaendesha mark11 grande mpya na anafanya biashara ni mkinga anaitwa Fred na yupo humu jf nikitaja ubini atanitambua na ndo anayotumia kama I'd humu jukwaani tumesoma mbeya nilimuuliza pesa anatoa wapi akanieleza kuwa sisi tunadini yetu kama uko tayari nikuunge utakua na pesa lakini lazima utoe kafara na hata hivi leo tunavyozungumza kuna msiba wa baba mdogo tunaenda kuzika makete, sasa hivi yupo kariakoo hapo ana mawe balaa,sema yy sioni kama anamasharti ya kuvaa na kula bata.
 
Hata nikisema haitakusaidia chochote
Nimepambana sana kwa miaka zaidi ya 40
Leo wanangu hawana dhiki na mimi nakula maisha huku bado napambana
Kuna bank holidays 2 mwezi may nategemea moja niende Berlin na nyingine ijayo Amsterdam
Kuna lingine boss?
Sio kujisifu bali maisha nayamudu
Hafahamu kama uko mbele toka miaka ya 70s, of course biashara za kiafrika na ushirikina hazipishani lakini ushirikina sio kigezo cha mafanikio na sio wote waliofanikiwa basi wamepitia huko, wakinga wapo wanaopitia hizo ndagu ila siri nyingine ya wakinga wanamiliki maekari ya miti mikaratusi na mipaina so unaweza kuona mtu anabiashara ya kawaida kumbe ana hekari 100 za miti baada ya miaka 8-10 akipasua mbao tayari anapata mtaji was kuanzisha biashara kubwa kariakoo.
 
Hii nayo ni sababu ya msingi sana ambayo haisemwi. Uchawi usukumani karibu kila familia inamganga na kila kitu hata kuandaa shamba lazima waloge. Misukule ya kutosha lakini wengi wanaungaunga tu.
 
Hamna chochote kick tu za kishamba huyo vunjabei kapawa kichwa, biashara ya kumiliki assets kibao hazina mpango dunia imehamia kweny teknolojia.
wakinga , waha na wasambaa biashara zao za kumiliki assets kaboa faida kidogo , sio labda wanamiliki viwanda ni wazee wa kuagiza kupta commissions.
Dogo unaumia ukiwa wapi?
 
Hii nayo ni sababu ya msingi sana ambayo haisemwi. Uchawi usukumani karibu kila familia inamganga na kila kitu hata kuandaa shamba lazima waloge. Misukule ya kutosha lakini wengi wanaungaunga tu.
Katika kundi la wasukuma 10 basi 9 wana chale maeneo mbalimbali ya miili yao, ila wasukuma ndo kabila pekee Tanzania unaoweza kuishi nao na mkapiga Moshe vizuri kabisa hawana wivu wala roho mbaya wala ubaguzi wa dini,kabila au ukanda tofauti na makabila kama wachaga,wahaya,wambulu
 
nimekua karibu na wakinga naeza kusema nawajua vizuri. zaman wakinga wengi walikuwa ni jamii maskini sana (ule umaskini mbwa mbwa kabisa) tu kama zilivyo jamii zetu nyingi. wengi walikuwa wanafanya kaz za kuhemea vibarua vidogo vidogo majumban na hasa mashamban yani kam una kikaz chako unamuita anakufanyia.

kilichowainua wakinga ni nidhamu ya juu sana ya kutafuta na kutunza pesa [jamaa sio watumiaji wa pesa]

mkinga anaweza kuwa na burungutu la ela lakini ukakuta anashindia vipande vya mihogo vya mia tano. wako ivo.

cha pili ni wachapakazi sana na wako focused kupita maelezo. anaweza kuwa na duka lakin lazima awe na mashamba yale makubwa uko kwao sio ajabu kukuta tajiri mkubwa tu apo town lakn ana heka 200, 300 au 400 za mazao uko porini.

ni watu wavumilivu na sio watu wa kuendekeza anasa au maisha ya show off kifupi sijapata kuona jamii kama iyo. wanafocus kwenye mambo yao zaidi sio watu wa kupenda kuongeaongea.

hayo mambo ya uchawi kuna jamii gani ya apa tz haina uchawi mbona awaupati uo utajiri? ingekuwa uchawi una maajabu wale watu wa songwe na wenzao wa sumbawanga si wangekuwa matajiri wakubwa sana?
Umemaliza kila kitu,mimi ni mhanji karibu na wamkinga kabila dogo sana huwa tunasema ni wakinga pia, Sina pesa sababu Sina mambo ya kando ila najua kwa nguvu zangu na Mungu wangu ipo siku nitatoboa pia,mambo yanaenda yanabadilika wengine wazazi wetu walikataa pesa za hivyo hivyo hatukurithishwa mambo hayo sio kila mkinga ni mchawi kuna kipindi mtu akiniuliza kabisa gani huwa nasema mtanzania maana hawakawii kukuambia mchawi mbele za watu
 
Kuna siku mjomba wangu kanunua bidhaa dikani kwake. Mara akamuona akadhani ni wale vibarua wa kubeba mizigo. Alumuita na Kasisi akaja, alabeba mizigo kupakia kwenye basi. Wakati wa malipo akakataa lupokea fedha.

Mjomba akashangaa ndipo watu wakamuambia huyo ndiye tajiri wewe nenda tu
Wanyantunzu ndo wanaofuatia nyuma ya wakinga then wachama nenda machame uone idadi ya machizi na mataira mwisho waha.
 
Back
Top Bottom