Ndio maana kichwa cha uzi wangu kimetaka wale watetezi wa bei ya umeme kushuka baada ya umeme wa maji kuanza kutumika, wajitokeze watoe ufafanuzi wa hii bei kupanda.Ni sahihi bei kutokushuka au ni janja janja tu ya walioshika hatamu ??
Nyie ndio wanaccm, na akajaza wabunge wa ccm ili wasimkwamishe. Je hilo bunge la chama kimoja aliloliweka linaloendana na falsafa zake nalo limezikwa naye?Kushuka kwa bei ya umeme ndio ulikuwa mpango wa Magufuli..sasa ukituuliza tuko wapi wakati unajua mbeba maono alishakufa na maono, huo ni wehu..ndio maana tulikuwa tukiwaeleza Magu ni one man army mkawa hamtuelewi..haya sasa kawaachia hapo mnabaki mnapiga kelele tu..hilo bwawa si mrefu atapewa mwekezaji toka oman awauzie umeme.
Tumeupata pia kwenye maji wakati upinzani wa Kenya ukiwa unakuja hoja reasonable upinzani wa Tanzania unakuja na hoja za kitoto toto na badae wanalalamika kwanini watz hatuwasapotiNimecheka kwa nguvu, ambao kwenye gas tusingeweza kuupata umeme wa uhakika, ila kwenye maji tungepata. Lakini hata hivyo mbona bado unakatika hovyo?
Naona kama umeparamia hoja yangu bila kuisoma na kuielewa. Tazama kichwa cha uzi wangu, ujipime na unachoongea hapa. Ama umeanza kunywa pombe kama sio kuvuta shisha? Mimi nawataka waliosema bwawa likianza kazi umeme utakuwa nafuu wajitokeze maana walisema umeme wa gas ni ghali. Sasa wewe hata sijui unanaimbia nini?Kama hujawahi kutetea sasa kwanini ufikirie kuwa umeme wa maji utakuwa rahisi kwa Watanzania, au huelewi unachokiandika.
Umeme wa maji kweli ni rahisi sana kuuzalisha kulinganisha na nishati zingine kasoro nuclear.
Uzalishaji kushuka gharama haimaanishi kuwa mtumiaji wa mwisho atapewa unafuu wa ghafla moja. Kwanza kuna kujitosheleza kibajeti, tukishajitolesheza hapo ndipo watumiaji wa kila huduma zitashuka bei kwa kiwango fulani.
Namaanisha ytuzalishe mapato zaidi ndiyo tupate unafuu wa maisha. Itakuwa ni akili ya kijinga bajeti ukope halafu ushushe mapato yako.
Yaani wala hujajibu hoja, naona unachomeka habari za Kenya huku huna majibu. Narudia swali, watetezi wa umeme wa maji v/s gas mlisema umeme wa maji utashusha gharama, ila gas bei itakuwa juu. Achana na habari za Kenya maana ziko nje ya uwezo wako, sema kwanini bei ya umeme inazidi kupaa. Ukiweza kutoa ufafanuzi wa hilo, ndio ulete hayo ya Kenya sasa.Tumeupata pia kwenye maji wakati upinzani wa Kenya ukiwa unakuja hoja reasonable upinzani wa Tanzania unakuja na hoja za kitoto toto na badae wanalalamika kwanini watz hatuwasapoti
Unaijua initial cost ya solar system?Kwangu mimi umeme rahisi ni wa solar tu.
Kwahiyo nchi hii haina mipango, bali inategemea utashi wa rais aliyeko madarakani? Kama ni hivyo hiyo tume ya mipango ni ya nini?Maswali hayo matatu yangewezekana angekuwa hai, nina imani angekuwa hai nchi yetu tungeitazama kwa namna tofauti sana.
Huna hoja mzee baadala ya kulalamika kwanini Bei ya umeme haijashuka licha bwawa kukamilika wewe unapinga bwawa kujengwa hoji mamlaka inayohusika na Bei za nishati kiukweli kama wapinzani tutakuwa na hoja za kitoto kama hizi sijui hata tukishika Dora tuiendeshaji nchii na ni utoto utoto wa kifikraYaani wala hujajibu hoja, naona unachomeka habari za Kenya huku huna majibu. Narudia swali, watetezi wa umeme wa maji v/s gas mlisema umeme wa maji utashusha gharama, ila gas bei itakuwa juu. Achana na habari za Kenya maana ziko nje ya uwezo wako, sema kwanini bei ya umeme inazidi kupaa. Ukiweza kutoa ufafanuzi wa hilo, ndio ulete hayo ya Kenya sasa.
Gharama ya wakati wa kufunga, ukiigawa na kwa time frame ya matumizi, unaweza kuta production cost ya kilowatt hour moja ipo juu sana. Hii ya kilamwezi 2000/- ni longolongo za hao mnaowatetea tu..!! Na ndiyo maana kila mmoja anasema yeye hahusiki nayo..!! Siyo sehemeu ya gharama za ujenzi wala uendeshajiGharama ni wakati wa kufunga tu. Baada ya hapo ni mpaka betri itakapochoka ndipo ubadilishe. Hakuna sijui umeme umekatika, sijui kulipishwa 2000 kila mwezi! Achilia mbali kununua hizo units kwa bei iliyochangamka.
Duniani kote sasa hivi wanawekeza zaidi kwenye renewable energy. Hata magari yayotengenezwa sasa ni ya umeme kupunguza uchafuzi wa hewa.Tupate umeme mwingi zaidi ya 2,115m, na umeme wa uhakika maana umeme wa maji tuliambiwa tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi. Chama kilichosifia kutotumia umeme wa maji na kuhamia kwenye gas, ndio kilichosifia maji tena bila kujali mabadaliko ya tabia nchi. Kama una akili hoja yangu iko wazi.
Ngoja nikuweke pazuri, mimi nilipinga bwawa kujengwa kwa hoja. Kwanza nilisema tulikopa $1.3b kama 3t+ ili kujenga bomba la gas. Tuliimbishwa kama watoto wadogo kuhusu umeme wa gas na faida zake. Ama umeshau maneno kuwa umeme wa gas ukianza mgao itakuwa historia? Kumbuka mgao uliokuwepo tuliambiwa vyanzo vya maji matatizo yake ni mabadaliko ya tabia nchi. Ahadi ya umeme wa gas ilikuwa ni kuzalisha 5,000m na kuuza nje ya nchi. Kila mtu akakamata hiyo chorus kwa lazima au vinginevyo.Huna hoja mzee baadala ya kulalamika kwanini Bei ya umeme haijashuka licha bwawa kukamilika wewe unapinga bwawa kujengwa hoji mamlaka inayohusika na Bei za nishati kiukweli kama wapinzani tutakuwa na hoja za kitoto kama hizi sijui hata tukishika Dora tuiendeshaji nchii na ni utoto utoto wa kifikra
Safi, pitia post yangu namba 72, kisha uje na maelezo mazuri. Hayo ya dunia yote yaache kwanza, kisha tutakuja kwenye hitimisho baaada ya ufafanuzi wa hoja zangu namba 72.Duniani kote sasa hivi wanawekeza zaidi kwenye renewable energy. Hata magari yayotengenezwa sasa ni ya umeme kupunguza uchafuzi wa hewa.
Mbona yeye ndie aliyepandisha bei Sukari.Angekuwepo mzalendo lazima umeme ungeshuka bei.
Hata hii tuliyonunua elfu 6 kwa kilo tutaambiwa kapandisha yeye. π πMbona yeye ndie aliyepandisha bei Sukari.
Kabla ya Magufuli bei ya Sukari ilikuwa stable.Hata hii tuliyonunua elfu 6 kwa kilo tutaambiwa kapandisha yeye. π π
Kwani tumeacha kuzalisha umeme wa gesi kama umeme wa gas unazalishwa na umeme wa maji unazalishwa Sasa kosa liko wapi?Ngoja nikuweke pazuri, mimi nilipinga bwawa kujengwa kwa hoja. Kwanza nilisema tulikopa $1.3b kama 3t+ ili kujenga bomba la gas. Tuliimbishwa kama watoto wadogo kuhusu umeme wa gas na faida zake. Ama umeshau maneno kuwa umeme wa gas ukianza mgao itakuwa historia? Kumbuka mgao uliokuwepo tuliambiwa vyanzo vya maji matatizo yake ni mabadaliko ya tabia nchi. Ahadi ya umeme wa gas ilikuwa ni kuzalisha 5,000m na kuuza nje ya nchi. Kila mtu akakamata hiyo chorus kwa lazima au vinginevyo.
Cha kushangaza chama kile kile kilichotuimbisha kuhusu umeme wa gas, na tatizo la mabadaliko ya tabia nchi kuachana na umeme wa maji kabla ya 2015, wakawa kimya kabisa tulipoambiwa baada ya 2015 kuwa sasa tunahamia umeme wa maji! Hapa hapakuwa na utetezi wa mabadiliko ya tabia nchi tena, na tukaambiwa umeme wa maji ni gharama nafuu. Na tutawekeza 7t+ ili kupata 2,115m kwenye maji! Wenye akili zetu tukahoji kwanini 7t ipelekwe yote kwenye maji ambako kuna tatizo la mabadiliko ya tabia nchi ili kuzalisha 2,115m, na kuachana na gas yenye ahadi ya kuzalisha 5,000m, huku tukiwa tumeshakopa $1.3b, na bomba la gas tayari liko hapa Dar?
Sasa achana na mambo yote unayojaribu kurukia, toa ufafanuzi wa kina kwani umeme wa maji utakaozalisha 2,115m kwa 7t+, na kuacha umeme wa gas ambao umeshakula 3t+ na miundombunu iko hapa Dar tayari, na lengo ilikuwa kuzalisha 5,000m. Je hiyo 7t+ tusingeweza kupata umeme zaidi ya hiyo 2,115m kwenye gas? Ukishindwa muite Kafulila maana ndio mnamtegemea siku hizi kwa ufafanuzi wa mambo makubwa. Nchimbi, Makala, Makonda majibu ya haya hawana maana wao ni propaganda tu. Hangaika na hoja hii ama ukae kimya.
NB: Zingatia kisingizio cha umeme wa maji kuwa nafuu hicho kimedhihirika sio kweli.
Paskali Mayalla, nguruvi3, bams, zitto junior
Ndio maana nikasema , kwanini tuingize 7t yote kwenye maji, badala ya kupeleka nusu ya hiyo kwenye gas, na kisha hela nyingine itumike kwenye maendeleo. Kumbuka ni pesa ya mkopo. Je huo umeme wa maji tatizo ma mabadiliko ya tabia nchi mmelimaliza?Kwani tumeacha kuzalisha umeme wa gesi kama umeme wa gas unazalishwa na umeme wa maji unazalishwa Sasa kosa liko wapi?