Wakorea wanne kwenye kikao cha Watanzania 20

Aiseeeee!
Mkuu we mtu mzima bwana,na kama muislam basi uislam umehimiza busara na hekima katika uwasilishaji jambo.
MIMI NI MUISLAM ila sijapenda namna ulivyojibu.
UISLAM HAUPO HIVYO.
Umeuliza point yake nini mie nimejibu kulingana na uelewa wangu kuwa kakusudia nini.

Kuna point za kujibu kuliko kukashifiana dini,kitu ambacho uislam haupendi na hauruhusu.
 
Ulikuepo?
 
Kwa mataifa yenye waislam wengi kama TURKIYE,INDONESIA,MALAYSIA ambayo nayo yameendelea unayazungmziaje!?

katika hizo nchi ulizozitaja hakuna iliyoendelea hapo isitoshe malaysia na indonesia uchumi wote umejengwa na kushikiliwa na chinese ambao siyo waislamu.

uturuki unajua ni kwa nini hata wanakataliwa kujiunga na EU pamoja na kujitahidi kote kuomba uanachama? isitoshe uturuki was once a prosperous Christian area kabla ya kuwa conquered na muslims, instanbul ilikuwa inaitwa Constantinople kabla ya waislamu kuconquer na kubadilisha kila kitu …
 
Christians ni >27% of the population, waislamu laki kwenye population ya > milioni 50 ni sawa na asilimia 0.% , karibia 30% ya Wakorea ni Christians (western) ndio maana kuna high IQ ambayo inahitajika kuleta maendeleo …
50% ----Hawana dini kabisa.
32%----Walokole na ndio wanashikilia uchumi wa Korea.
16 ---Budha
2%---Wapagani na dini zinazoamini miungu mingene.

ANGALIZO.
Kukosekana kwa dini fulani kumechangia kuwa na amani huko Korea kusini kulinganisha na kama hiyo dini ingekuwepo?
 
Magarasa ndo mengi including akina Lulu
 
Mange kimambi saiv akipanga maandamano yatakua na matokeo makubwa sana ata mimi na familia yangu natoka kuandamana
 
umepima IQ ya kwako we nyegere
 
🤣🤣 bwana kwani hujui watu wa ukimani wana akili basi.
ila ninampenda sana mama samia natamani atawale miaka 20 mwenzenu. musinipopoe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…