Wakristo (baadhi) acheni Ulalamishi kuhusiana na Jersey za Yanga

Kwan ni uongo yanga na simba wamejaa Muslims, anzia akina gsm wote( hersi saidi, hasan bumbul, manara, omar,n.k)njoo, moo( try again, Barbara, Ahmed ali,kassim, rabi Hume,babchicharito,asha baraka n.k)
Ww sh*ga nn.
 
Nikweli kabisa nyuma ya haya mambo wapo WAISIHARAMU ambao wafanya juu chini kutuchafuria taifa kuna tofauti baina ya MUISIHARAMU NA MUISLAMU


Muisiharamu yupoje??!!
 
Stupid thread.
 
Umekunywa maji ya upako?
 
Umetumwa na demigod kuja kuhalalisha jezi lenu la Sensa na Makazi siyo
 
Ila kutoka pale kwenye lisanamu la askari mpaka martin luther king sio mbali lakini naona hapajatokea kwenye jezi. Ajabu mpaka mtaa wa makunganya ambayo ipo mbali naiona hapa.

Msichukulie siriasi, ni genge linafurahishwa.
 
[emoji23][emoji23]Kwani kile si ni chama cha siasa chenye marengo wa kidini ..
 
too be honest, hizi timu mbili kubwa za kariakoo, waasisi wake ni watu wa pwani ambao ni waislamu.

sishangai kama yanga watakuwa wameweka alama ya dini ya kiislamu kwenye jezi yao.

Kwa mantiki hii wakristo wamislimishwa bila kujua!! Kuanzia sasa nahama yanga acha wabakie waislam waendeleze udini wao!!
 
Jamaa una akili wewe😂😂😂. Jezi imekosa kanisa tu ila kila kitu kipo hadi SGR
 
...Kichwa habari umesema ' Wakristo walalamikia...wakati Aya kwanza ya bandiko lako Umeanza na ' Baadhi ya Wakristo.. '
Usichanganye Mambo. Baadhi ya Wakristo hauwezi ikawa Dini Nzima....!!
Ungemjibu tu msikiti upo kweli au haupo. Na Kama upo umefuata Nini kwenye jezi za yanga? Je yanga ni timu ya kidini ?
 
Nashangaa ...Wakristo hawana huo upuuzi
Kwa sababu huna dini ndio maana hujui madhara ya udini. Unafikiri wangefanikiwa kuanzisha mahakama ya kadhi kipindi like wewe isingekugusa. Unawajua hao unaowatetea Wana malengo gani na hii nchi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…