The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Baadala uhoji. Vitu vya msingi una hoji vitu vya ajabuajabbu.Naomba muongozo.... kwanini maiti mnawaweka kwenye Jeneza ... ?View attachment 2595171
Kuwa muelewa usiulize kitu km una majibu,imeandikwa wapi ktk Quran kuwa upande daladala,ukalie makochi,ukiswali utandike zulia,ukijenga nyumba uweke tiles au vioo ,ukioa basi ni vzr mkalala uchi,saa 2 ndio saa 8 au saa 9 ndio saa 3, siku km Ijumaa,Jms ,J2 zimeandikwa wapi mbn unazifuata,mwezi wa 1 una siku 31,wa pili siku 28/29 hizi tarehe na idadi ya siku zimeandikwa wapi,km Kila kitu kingeandikwa kwny biblia , bible ingekuwa kubwa sana na isingebebekaUna uhakika simu haipo kwenye maandiko? Dunia itakuwa kigajani ina maana gani? Kwamba kila kitu utakiona bila kificho.
Kitu nilichouliza. Tuliza akili ndo ujibu
Umeprove andiko kuwa Misri ndiyo waanzilishi wa hii kitu.24 Yusufu akawaambia nduguze, Mimi ninakufa, lakini Mungu atawajia ninyi bila shaka, atawapandisha toka nchi hii, mpaka nchi aliyowaapia Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo.
Mwanzo 50:24
25 Yusufu akawaapisha wana wa Israeli, akasema, Bila shaka Mungu atawajia ninyi, nanyi mtaipandisha huko mifupa yangu.
Mwanzo 50:25
26 Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.
Mwanzo 50:26
Kama anataka kuelewa basi Mwanzo 50:26 imemaliza Kila kitu.24 Yusufu akawaambia nduguze, Mimi ninakufa, lakini Mungu atawajia ninyi bila shaka, atawapandisha toka nchi hii, mpaka nchi aliyowaapia Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo.
Mwanzo 50:24
25 Yusufu akawaapisha wana wa Israeli, akasema, Bila shaka Mungu atawajia ninyi, nanyi mtaipandisha huko mifupa yangu.
Mwanzo 50:25
26 Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.
Mwanzo 50:26
Ni mtazamo wangu tu.. Au sio nshomile 😁🙏🏽Au veep ila soma
Tumechewa Sana Ndugu Zanguduh kila kitu andiko aiseee
Endelea hivo hivo ..... sijui baba wakesho au Mama wa kesho
Kwa hiyo mpaka sasa waarabu hawa uwezo wa kuzika kwenye sanduku?wewe unawazi uwezo sio[emoji14][emoji14]ukipata jibu namimi nijibu imeandikwa wapi tusafiri kwa kutumia magari na wakati punda wapo.
waarabu walizikwa pasipo ya jeneza kutokana na uhaba wa mbao uko jangwani kwao, ikawa ni kama sehem ya utamaduni wa mwarabu, mara imeingizwa ktk dini yetu pendwa ya kukopi na kupesti utamaduni wa mwarabu.
ukute ata kuvaa kobazi nayo ni sunnah
Andiko gani limekwambia ule kwa kijiko?Naomba muongozo.... kwanini maiti mnawaweka kwenye Jeneza ... ?View attachment 2595171
Wewe ni Mkristu? Kama siyo hayo mambo ya Wakristu yanakuhusu nini?Naomba muongozo.... kwanini maiti mnawaweka kwenye Jeneza ... ?View attachment 2595171
Ana kithembe
Yaani mimi vya jeneza expensive ndo naelewa balaa...mimi nawazaga uzikwe na dhahabu..dah😌.soo painfulMi hayo yote sijui....ila huwa nawaza tu kununua jeneza bei ghali mara suti bei ghali halafu tunaenda kuvifukia tu chini
Kwaweli wana ukakakasi kama embe bichi.....au basi anyway hawakupenda🤭Men mwenye kithethe ukweli namuona dah..wanawezaga kweli? Au basi wanakua strong!