Wakristo huko Syria wana hali mbaya sana! Ulimwengu umekaa kimya

Pale Rwanda 1994 walichinjana adi Makanisani walikuwa Waarabu Ukraine na Russia nao Waraabu Rwanda na Congo vip nao waislamu!!!!!!
Kwa hiyo unataka kuwasafisha magaidi wanajua watu kwa jina la Allah?
 
Swali ni kuwa huko Syria wanauana wasyria? Au waislam wanawaua wakiristo kama anavyotuaminisha mtoa mada? Toa jibu
Usiwe mjinga kupita kiasi Watawala wa Syria wanawaua Wakristo na Alawite wanaowatuhumu kuwa wafuasi wa Assad!!
 
Wakristo wangapi,wangapi wanauana wenyewe kwa wenyewe huko DRC,Rwanda,BURUNDI,KASKAZINI Uganda,Ireland ya Kaskazini wakatoliki na waprotestant,Haiti,Sudan ya Kusini,haya hamuyasemi.
Point ya msingi hapa ni kisababishi cha mauaji, Syria waislam wenye siasa kali wanaua wakristo,alawites na druze kwa sababu sio waislamu. Wanatekeleza lile andiko la kwenye Quran 3:149-151 dhidi ya wasioamini katika uislamu.
 
Usiwe mjinga kupita kiasi Watawala wa Syria wanawaua Wakristo na Alawite wanaowatuhumu kuwa wafuasi wa Assad!!
Makafiri hamuwezi kujadili kwa lugha za staha abadan Allah akusamehe

Lakini ukae ukijua Assad na utawala wake hawakuwa wakiristo na serikali ya Assad ilikuwa inaendeshwa kwa sheria za kiislamu na sasa wanachofanya waasi waliochukua nchi ni kuua yeyote aliekuwa akishirikiana na serikali ya Asaad
 
hawa pia wanauwawa kwa sababu ya ahadi ya wanawake mabikira 100.
naipenda imani yangu lakini siku zote naomba kuthamini uhai wa mtu.
Kadri ninavyokuwa nazidi kuona binadamu ni wa maana sana kwa kadri alivyoubwa sihitaji kumuua.
sasa ikiwa uisilamu ni dini ya haki kwa kadri ya imani yao basi tukubaliane hawa sio waisilamu.
 
Hao unaowasema ni madikteta ni branding ya huyohuyo unaemtetea USA. At any point in time akiwa tofauti na wewe ni lazima akuite majina mabaya na yeye aji-present kama ndo malaika, cha kusikitisha na wewe pia umeamini katika hiyo propaganda. Putin si wanamwita dikteta na wamempa kila majina mabaya? saivi Trump amekaa nae upande mmoja na tayari wameanza kum-potray Zelensky kuwa ndo adui wa nchi yake (Ukraine).

Ingekuwa middle East wanamtaka sana USA basi asingelazimisha kuweka camp zake za kijeshi kila kona, au basi kungekuwa na fair allocation ya hizo camps, angalau camp tatu tu za kijeshi za waarabu pia zingeruhusiwa kuweka kambi Washington and New york.

Don't be fooled na nini USA wanasema, umepewa ubongo then judge on ur own.
 
wamepatwa na nini huko?
 
Acha ujinga wako Allah wako huyo kwangu mimi ni takataka tu wala hana uwezo wa kunisamehe. Wauaji wote wa kiislamu wanajua watu kwa jina lake!! Wanaua watu huku wakipayuka Allah-Akbar huyo kwangu Hana nafasi kabisa na Hana uwezo wa kusamehe!!!
 
Acha ujinga wako Allah wako huyo kwangu mimi ni takataka tu wala hana uwezo wa kunisamehe. Wauaji wote wa kiislamu wanajua watu kwa jina łąkę!! Wanajua watu huku wakipayuka Allah-Akbar huyo kwangu Hana nafaszerowane kabisa!!
Umekaa udini na chuki za kidini ndio maana huangalii hoja utakufa kwa sonona baki wewe kama wewe dini umeikuta tu hapa duniani tumia utashi wa akili usiongozwe na mihemko ya kukaririshwa
 
Umekaa udini na chuki za kidini ndio maana huangalii hoja utakufa kwa sonona baki wewe kama wewe dini umeikuta tu hapa duniani tumia utashi wa akili usiongozwe na mihemko ya kukaririshwa
Tukiwaambia ukweli mnaanza kuficha uovu wa dini yenu ya kiuaji!!
 
Acha ujinga wako Allah wako huyo kwangu mimi ni takataka tu wala hana uwezo wa kunisamehe. Wauaji wote wa kiislamu wanajua watu kwa jina lake!! Wanaua watu huku wakipayuka Allah-Akbar huyo kwangu Hana nafasi kabisa na Hana uwezo wa kusamehe!!!
Tukisema wakiristo ni wa dini sana huwa tunamaanisha ona ulichoandika sasa kwa mwislamu anaetekeleza maandiko hawezi kukuacha salama kwa matusi hayo halafu uje umuite gaidi

Wakiristo hamna uvumilivu wa kidini kabisa na mna matusi kutukana dini za wengine,

Hapo nimekupa mfano wa aya, Mungu (ambae wewe humuamini) anawaambia wenye kumuamini kuwa wapigane na makafiri wale ambao "wanatunaka dini"

Ukiangalia vizuri ni kwamba muislam hawezi kumkuta tu mkiristo kakaa tu akaanza kupigana nae au kumuua ila huwa kuna sababu ambayo ipo kisheria

Kwahiyo mtaendelea kuwaita watu magaidi mpaka muache kukebehi na kutukana dini za watu
 

Attachments

  • Screenshot_20250304-124906.png
    89 KB · Views: 1
Tukiwaambia ukweli mnaanza kuficha uovu wa dini yenu ya kiuaji!!
Mimi nimekuambia wanaouliwa Syria sio wakiristo Bali ni wafuasi wa Assad ambao miongoni mwao wapo wakiristo endelea na chuki zako za kidini maana kwa chuki hizo huwezi elewa hoja ya msingi hata upelekwe Harvard University
 
Haya wale wanaosema uislam dini ya amni wako wapi?

Tuliwaambia ukweli kuwa wengi mnawalazimisha wanabisha
 
Haya wale wanaosema uislam dini ya amni wako wapi?

Tuliwaambia ukweli kuwa wengi mnawalazimisha wanabisha
Bila haki hakuna amani principle hiyo hutumika kote duniani

Ukiona sehem hakuna haki lakini kuna amani jua wanaoongozwa sehemu hiyo ni mazwazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…