Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

Achana nae huyu
 
Punguza hasari,sio nzuri kwa kiumbe aliyetumboni mwako.
 
Samia ni kirusi ndani ya nchi, CCM mtandano ni mafia - watanyofoa mmoko mkoko hadi wabakie wao ili watafune nchi watakavyo.
Wa kuleta nywinywinywi anakutana na shimo la tewa - dadeq
 
Samia ni kirusi ndani ya nchi, CCM mtandano ni mafia - watanyofoa mmoko mkoko hadi wabakie wao ili watafune nchi watakavyo.
Wa kuleta nywinywinywi anakutana na shimo la tewa - dadeq
Huyu kibibi ni zaidi ya hatari kwa usalama wa hili Taifa.
 
Waache waendelee na kama wanataka kiwake sisi ndio tunapenda na kwanza wao ni mafisi hawawezi shughuli
Waache waupalilie moto
 
Anayeleta udini ni Samia na Masheikh wake anaowatuma kupandikiza udini wao.

Sie tunatafsiri tu mwenendo wao kwa lugha nyepesi ambayo wameshaiweka wazi wenyewe.
Ni ukweli uislamu ndiyo unatumiwa na mafisadi na wahuni kuleta udini .....
 
Sio kweli, Lord Denning ana hoja kuntu inayohitaji kujadiliwa. Kuikwepa hoja hii ni kulea tatizo ambalo linaweza kuendelea kutugharimu!

Narudia tena kusema kuwa, kuukwepa ukweli na uhalisi wa tatizo hili na kujifanya hatulioni kuwa ni tatizo ni kujidanganya na hatutaweza kupata Suluhu ya namna ya kwenda mbele tukiwa wamoja

Na changamoto ya udini inaanzishwa na waislamu wenyewe kwa sababu ya kutojiamini kwao

Mathalani, ni wao wanaolialia ovyo kila mara Bi Msumi (Samia) anapokosolewa. Kila mara utawala wake uliporushiwa madongo ya kukosolewa, hawa watu (waislamu) haraka haraka wamekimbilia kwenye utetezi dhaifu wa kusema anafanyiwa hivyo " kwa sababu ni mwislamu.!"

Hebu tujiulize yeye Bi Msumi kwa upuuzi wake, kwa incompetence yake ktk kuongoza nchi, kwa tamaa yake ya madaraka ya kuutaka u Rais kwa nguvu zote hata kuleta maafa haya, kwa kutoa AMRI ya kuuwawa kwa maelfu ya raia wasio na hatia ili tu yeye awe Rais Kuna uhusiano gani na dini yake?

Je, si yeye na nyie waislamu wenzake mnaojielekeza, kuutetea udhaifu wa uongozi wake kwa kujificha nyuma ya sababu za udini?

Sisi tunasema hivi: SAMIA SULUHU HASSAN ANATETEA UDHAIFU WAKE KIUONGOZI KWA KUJIFICHA NDANI YA BLANKETI LA DINI YAKE YA UISLAMU, PERIOD!.

Hii sio siri, ni ishu ambayo iko wazi na inaeleweka. Kwetu sisi we don't care about dini yake, we don't care about uanamke wake............!!

We're just saying the fact that, SHE'S AN INCOMPETENT PRESIDENT, SHE DOESN'T DESERVE THAT POSITION. Na ofcoz, udhaifu huu umetoka kwa mrithi wake Hayati John P. Magufuli (mkristo mkatoliki) ambaye sisi Wakristo tulimzomea na kumkosoa sana. Cha ajabu hawa waislamu wa leo, wamepoteza kabisa kumbukumbu hiyo, wao wanachoona ni leo tu, hawakumbuki Jana!!

It's unfortunately kuwa, wafuasi wachache wajinga na wapuuzi wa Kiislam wameibeba hii ajenda na kuifanyia kazi. Na bahati mbaya kuwa, baadhi ni viongozi wakubwa ndani ya serikali na kwa sbb hiyo maamuzi yao ya kiutendaji ya kila siku yanachukua mwelekeo huohuo wa kutetea dini yao ya uislamu na Rais Samia anaona na kamwe hakemei na hafanyi lolote!

Lakini TEC walipotoa ushauri juu ya utawala wake, wa kwanza kujishitukia kuwa wamemkosoa kwa sbb ya dini na uislamu wake ni yeye mwenyewe Samia tena kwa kulalamika kupitia hotuba rasmi na ya wazi mbele ya camera za TV!

Kuona hivi, wafuasi wachache wa DINI ya Kiislam wakalibeba na kulikuza kupitia vyombo vya habari kumpigania Rais mwislamu mwenzao

Fuatilia matamko ya waislamu kupitia taasisi zao kama BAKWATA nk ni udini mtupu, hawana hoja yoyote

Hata mauaji ya kimbari ya MO29 na siku zilizofuata na kuendelea, kujifanya uchunguzi ndani yake hutakosa sababu ya msukumo wa kidini!

Tuache taboo hii ya kijinga kukwepa kuujadili ukweli. Tatizo la udini lipo na tusipo acknowledge kuwa Kuna tatizo hilo basi hatutapata Suluhu!

We have a religious problem here in Tanganyika. It won't help anything if keep denying this truth!!
 
Waache waendelee na kama wanataka kiwake sisi ndio tunapenda na kwanza wao ni mafisi hawawezi shughuli
Waache waupalilie moto
Si umeona. Mnakiri wenyewe anayosema Marekani kuwa mnafanya persecution ya wakristo.
 
Hawana hoja.

Soma uzi wote uone wanavyokiri wenyewe kufanya persecution ya wakristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…