mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Hawafuati Kwa sababu ni sheria za Uongo na hazina uhalisia.
Ndio maana Ukristo unaonekana kama Ukafiri Kwa sababu ya sheria za Uongouongo.
Hakuna kwenye amri za Mungu sheria isemayo ndoa ni mpaka kifo ilhali kuna mlango wa Talaka ikiwa kuna kuhitilafiana
nani hafati sheria hii??
kama haifiatwi unadhani kwanini mletamada kaja kulia hapa??
hakuna mlango wa talaka,kuna mlango wa kutengana,ndoa iko pale pale.msijifanye kuujua sana ukristo kwenye mambo mnayotaka yafurahishe tamaa zenu za kimwili.