Wakristo tushukuru sana ndoa zinaweza kuvunjwa mahakamani, Makanisa hayana msaada, Sheria zetu za ndoa zipo mdomini tu ila si kwa uhalisia

Hawafuati Kwa sababu ni sheria za Uongo na hazina uhalisia.
Ndio maana Ukristo unaonekana kama Ukafiri Kwa sababu ya sheria za Uongouongo.

Hakuna kwenye amri za Mungu sheria isemayo ndoa ni mpaka kifo ilhali kuna mlango wa Talaka ikiwa kuna kuhitilafiana

nani hafati sheria hii??

kama haifiatwi unadhani kwanini mletamada kaja kulia hapa??

hakuna mlango wa talaka,kuna mlango wa kutengana,ndoa iko pale pale.msijifanye kuujua sana ukristo kwenye mambo mnayotaka yafurahishe tamaa zenu za kimwili.
 
Kama sheria ipi wanaweza kupindisha. Huko kwenye NGO mnazoziita makanisa wanweza kupindisha kila kitu hata wanazo biblia zao fuatilia. Inapokuja suala la ukristu kwanza Kanisa mama Katoliki kisha Lutheran, Anglican, Orthodox na mengine ambayo ni taasisi kimuundo na utendaji.

Hayo mengine mtu anajiamulia yeye na mkewe nini cha kufanya au kusema wanaweza kufanya lolote ila sio hayo makanisa nguli.

Kifungo cha mkeo akifanyi ndoa ife, mpaka kifo cha mmoja wenu.
Wala ugumba au utasa hauwatenganishi.

Kuna sharti moja la msingi sana hata serikalini hutumika. Consumation of marriage. Yaani ile siku ya kufunga ndoa au siku yeyote baada ya kufunga ndoa mlifanya tendo la ndoa.

Kama lilifanyika basi ndoa hiyo ilikamilika na ni halali.

Kama ilivyo kwenye mikataba mingine yeyote inayo vipengele vinavyopelekea uvunjaji wa ndoa vijue kabla ya kufunga ndoa husika.

Pia sio lazima ufunge ndoa kanisani (maana naona unakereka) unaweza kufunga ya kiserikali au hata ya kimila. Huko uvunjaji wake ni rahisi sana kama unataka urahisi kwenye kuvunja ndoa.

By the way, ukifunga ndoa hiku ukiwa na nia ya kuvunja hiyo ndoa itavunjika tu. Ila kama huna motive ya kuivunja utailinda milele na mtakuwa na raha daima.

Pia kuwa na raha daima haina maana hakuna changamoto zitakuwepo zitapita zitawaacha salama, magonjwa yatakuja yatapita, wanyatiaji watakuja watapita na mwisho mtafurahia uzee wenu na mtakuwa na cha kusema kwa wajukuu wenu.

Hivi mkeo anakuaje na kesi ya kufungwa maisha na wewe usihusishwe na kesi hiyo? It gets two to tangle.

mimi nashangaa mkuu,mtu anataka koti la ukristo ila ya ukristo hayataki[emoji23][emoji23][emoji23].
ooooooh uislam una sheria tamu za ndoa,sasa si usilimu ukaoe hao wake 4 na kuwaacha hata ukivuta bangi[emoji23][emoji23]
ndio maana RC ina kanuni yake inaita”kujitenga na kanisa”yaani wewe mwenyewe kwa uamuzi wako unafungua buti na kushika njia zako,wala hawakukimbizi.

sasa huyu jamaa anakomaa na jambo ambalo liko mikononi mwake,vunja ndoa jichukulie kimada wako wa maisha muishi,simple as that.hakuna ndoa tena ya kanisani.
 
Kama sheria ipi wanaweza kupindisha. Huko kwenye NGO mnazoziita makanisa wanweza kupindisha kila kitu hata wanazo biblia zao fuatilia. Inapokuja suala la ukristu kwanza Kanisa mama Katoliki kisha Lutheran, Anglican, Orthodox na mengine ambayo ni taasisi kimuundo na utendaji.

Hayo mengine mtu anajiamulia yeye na mkewe nini cha kufanya au kusema wanaweza kufanya lolote ila sio hayo makanisa nguli.

Kifungo cha mkeo akifanyi ndoa ife, mpaka kifo cha mmoja wenu.
Wala ugumba au utasa hauwatenganishi.

Kuna sharti moja la msingi sana hata serikalini hutumika. Consumation of marriage. Yaani ile siku ya kufunga ndoa au siku yeyote baada ya kufunga ndoa mlifanya tendo la ndoa.

Kama lilifanyika basi ndoa hiyo ilikamilika na ni halali.

Kama ilivyo kwenye mikataba mingine yeyote inayo vipengele vinavyopelekea uvunjaji wa ndoa vijue kabla ya kufunga ndoa husika.

Pia sio lazima ufunge ndoa kanisani (maana naona unakereka) unaweza kufunga ya kiserikali au hata ya kimila. Huko uvunjaji wake ni rahisi sana kama unataka urahisi kwenye kuvunja ndoa.

By the way, ukifunga ndoa hiku ukiwa na nia ya kuvunja hiyo ndoa itavunjika tu. Ila kama huna motive ya kuivunja utailinda milele na mtakuwa na raha daima.

Pia kuwa na raha daima haina maana hakuna changamoto zitakuwepo zitapita zitawaacha salama, magonjwa yatakuja yatapita, wanyatiaji watakuja watapita na mwisho mtafurahia uzee wenu na mtakuwa na cha kusema kwa wajukuu wenu.

Hivi mkeo anakuaje na kesi ya kufungwa maisha na wewe usihusishwe na kesi hiyo? It gets two to tangle.
Usilete mambo ya sheria hizo za serikali na watu, tuwe strict kwenye sheria za ukristo tu.

Unaposhiba ni vema uwajue na wenye njaa, si vema kwasababu ndoa yako imeshiba basi usitilie maanani zenye matatizo.

Ndio maana nimeweka hapa tukio moja wapo kuonyesha udhaifu wa sheria za kikristo kwenye ndoa.

Imetokea mmeoana mkiwa vijana wadogo tu mna miaka 23 alafu mwenzako anafungwa jela kifungo cha maisha, Inabidi ukae bila mke mpaka uzeeni na hata kifo ?

Usidhani wanaokwenda jela wote wana hatia, wengine wanasingiziwa, wengine kubambikiwa, wengine hufanya kosa bila kukusudia, n.k
 
Ndoa nyingi za kikristo mabinti huwa watiifu kwenye uchumba lakini huyatoa makucha baada ya ndoa maana wanajua wapo sawa na wanaume, mwanaume hawezi kuongeza mke na akithubutu tu anafungwa jela kwa kuvunja sheria na / au mali kupigwa panga pasu kwa pasu.

Mwanamke unakuta alikuwa na nidhamu kabla ila mkiingia kwenye ndoa anaanza kiburi cha wazi wazi na anakunyima tendo la ndoa mwaka mzima, utaweza ?
Ila itabidi watu wachunguzane kabla, suala la kuvunja ndoa ni hatari sana haswa kama mna watoto.
 
Huu ni uzembe wa wanaume wanao waoa. Fanya ichunguzi wako vyema acha mahaba kwanza kama kweli unataka mke.

Vijana wengi wanaangalia mwanamke mwenye shepu, sura, na muonekano watu wamsifie anamke mzuri.

Kumbe sura na vyote hivyo havina maana bali ulinganifu na dhamira maisha, ucha Mungu, maono yanayoemdana (sufuria na mfuniko). Vijana wengi badala ya kutafuta mifuniko itayoifumika sufuria wao wanaenda kutafuta sufuria zingine tena size tofauti. Aidha utazama humo ndani au hiyo hiyo sufuri itakua ndogo.

Mfano; vijana mnatafuta wanana wanaofanya kazi eti kuongeza kipato cha familia sawa.

Je upo tayari aende kufanya kazi zake za shift usiku

Je upo tayari afanye safari zake za kikazi na boss wake n.k

Vijana wengi hawawezi hili hata kidogo ndio maana kipato au kazi sio mojawapo ya kigezo cha mke bora.
 
Ila itabidi watu wachunguzane kabla, suala la kuvunja ndoa ni hatari sana haswa kama mna watoto.
Hata ukichunguza hakuna anaeijua kesho,

Inatokea paap, Mke wako labda kahamishwa kikazi kwenda Marekani, wewe unabaki hapa bongo na kazi yako.

Anarudi mara 1 kwa mwaka mnaonana kwa wiki 2 tu,

Wewe kama mwanaume hapo ambae ni rijali, huoni pana tatizo.
 
Hili suala ni mtihani sana kama mwanamke anafanya kazi ni balaa kabisa.😅😅
 
Na ulimschunguza ana tabia njema na bado anaendelea kuwa mwema lakini sasa yupo huko ughaibuni karibu mwaka mzima, hapo sasa /
 
Kuachana kwenye ndoa ni mpaka kifo kiwatenganishe ama moja wenu achepukue,

Nje ya hapo ni dhambi.

Kwanini wakristo hawataki kufuata sheria zao ?
Huwa naona kama ndoa inafungwa na mahakama. Kanisani ni igizo tu.
 
Watu wana ingia kwenye ndoa wakija kupendana ndio kitu pekee.
Wanasahau Staha, uvumilivu na maarifa ya kudeal na matukio tofauti. Wisdom wisdom wisdom kujua uchukue ma'amuzi gani kwa wakati fulani ni ushindi mkuu.
WENGI wanao achana ukiwauliza utakuta bado wanapendana.
1662144081333.jpg
 
hakuna kuachana labda ununue magunia matatu ya mkaa umchoe aishe
 
Usilete mambo ya sheria hizo za serikali na watu, tuwe strict kwenye sheria za ukristo tu.

Unaposhiba ni vema uwajue na wenye njaa, si vema kwasababu ndoa yako imeshiba basi usitilie maanani zenye matatizo.

Ndio maana nimeweka hapa tukio moja wapo kuonyesha udhaifu wa sheria za kikristo kwenye ndoa.

Imetokea mmeoana mkiwa vijana wadogo tu mna miaka 23 alafu mwenzako anafungwa jela kifungo cha maisha, Inabidi ukae bila mke mpaka uzeeni na hata kifo ?

Usidhani wanaokwenda jela wote wana hatia, wengine wanasingiziwa, wengine kubambikiwa, wengine hufanya kosa bila kukusudia, n.k
Kama hana hatia mpambanie mkeo atoke mje kula maisha.

Kabla ya kufunga ndoa uliyajua hayo kwamba ni wako katika shidana raha?

Kama ulijua haya yote kwa nini unalamika sasa.

Njia rahisi jitenge na kanisa kaoe huyo unayemtaka kwa utaratibu mwingine, wa kimila au kiserikali.

Angalizo: kwenye cheti imeandikwa ndoa ya mke mmoja au wake wengi. Basi hata huku serikalini hutafunga ndoa ingine mpaka uivunje ya kwanza.

Pia tambua hata huko serikalini mojawapo ya sharti la kuvunja ndoa lazima pande zote mbili ziridhie kuivunja.
 
Sababu yake umrudishe mama yako mgonjwa kwao kijijini, hataki awepo
Au mama anawafitinisha? Ila hata kama...HAKUNA KAMA MAMA... Nakuelewa...kiatu chako kinabana.....mpambanie Mama..mengine 🚮
 
Kanisa linafungisha ndoa halafu cheti kinatoka serikalini na kanisa halina uwezo wa kuvunja ndoa. Bali serikali halafu padri anasema alichokiunganisha Mungu wanadamu asiwatenganishe
 
Kama hana hatia mpambanie mkeo atoke mje kula maisha.

Kabla ya kufunga ndoa uliyajua hayo kwamba ni wako katika shidana raha?

Kama ulijua haya yote kwa nini unalamika sasa.

Njia rahisi jitenge na kanisa kaoe huyo unayemtaka kwa utaratibu mwingine, wa kimila au kiserikali.

Angalizo: kwenye cheti imeandikwa ndoa ya mke mmoja au wake wengi. Basi hata huku serikalini hutafunga ndoa ingine mpaka uivunje ya kwanza.

Pia tambua hata huko serikalini mojawapo ya sharti la kuvunja ndoa lazima pande zote mbili ziridhie kuivunja.
Umeishiwa point huna kingine zaidi ya kuanza kutaja mambo ya vyeti,

Mtu afungwe jela maisha uishi single mpaka kufa, be serious!!!

halafu hio ni scenario moja tu, na mke wako akipata kazi huko ulaya huku wewe una kazi yako huko Ruvuma anakaa mwaka mzima kwa siku 10 tu hapo vipi ?

Acha kuchukulia mambo kirahisi rahisi
 
Au mama anawafitinisha? Ila hata kama...HAKUNA KAMA MAMA... Nakuelewa...kiatu chako kinabana.....mpambanie Mama..mengine 🚮
Na ndipo unapokuja kuelewa kwamba sheria za kikristo ni za mdomoni tu hazina ukamilifu katika uhalisia.

Hapo hamna namna itabidi muachne tu, mama abaki
 
Hekima ya mwanadamu ni upuuzi mbele za Mungu. Yeye aliyesema alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikivunje alikuwa na Helma sana.
 
Back
Top Bottom