Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

"Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza"
 
Asili ya wakristo ni jamii yenye chuki kali dhidi ya waislam
 
Ni sahihi mkuu

Ni sahihi mkuu m mwenyewe n mchaga sema uislamu naujua sababu nimejichanganya nao kitambo sana ndo mana nawakubali sana hata kwenye cm yangu nimeweka nyimbo za kaswida na kwaya. Ila ukienda kule kwetu uchagani huwez kukuta uislamu hata misikiti..makanisa n mengi sana kila kijiji. Kuna siku nilipga kaswida walinishangaa mitusi kama yote. Ila uislamu naukubali kutokana na itikadi zao kama mavazi kwa watoto wa kike na watu kwenda kuswali kila siku swala tano. Japo naukubali sana lakini cjawahi kuwaza kubadili dini yangu ya ukristo👍👍👍
 
Mimi najuwa ni dini ambayo wanakwenda na kopo chooni
 
Mafundisho ya kisenge yanayochochea chuki mf kuua makafiri eti utapewa mabikra 72 na mito ya pombe
Kama nyie papa anasema mphilane mwanzo mwisho eti,

Acheni chuki za kidini wapuuzi nyie,Tanzania ni nchi ya amani mbbwa wakubwa nyie,au wenzetu mna sehemu ya kuishi amani ikitoweka,eti?
 
Waislamu wengi wamekariri quran yote.

ila hawaelewi maana ya kiarabu kilichoandikwa kwenye quran

Wengi ukiwaambia ya kuwa huwezi kuitenganisha dini ya kiislam na uarabu, wanaweza wakakutukana mpaka ukakoma. Wengi wanabisha bila sababu yoyote ukiwaambia uislam uko chini ya uarabu wanabisha mpaka basi. Ukiwaambia ya kuwa kabla hujauona uislam unauona kwanza uarabu wanaweza kukuoiga mawe. Ukisema uislam ni chombo/mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao, hakuna matusi ambayo utakosa kuyasikia.
Maana tunawaambia, tumeonana na waarabu ambao si waislam, lakini wana desturi zile zile za kiislam. Mfano kuvaa bui bui, kanzu, kibarakashee, nk.
 
Hayo yote ni sehemu ya mafundisho Yao Ili waendelee kuwa misukule ya kikristo lazima wamezeshwe kuwa Uislam ni kitu kibaya

Hata kitabu Cha Quran waliambiwa wasikishike ni kitabu Cha majini maana walijua wakikisoma wataujua ukweli

Sasa utawezaje kusoma kuruwan wakati sijui kiarabu?
 
Unachekesha wewe waislam ndio huwa wanachuki na wakristo hilo lipo wazi,Muslim yupo radhi ambebe muislam mwenzake hata kama hana uwezo na sio mgalatia.
Yani kiufupi ni kama waslama huwa wanafundishwa kuwa adui wake namba 1 ni Mkristo.
Ni waisalam wachache sana katika 100 labda 1 au 2 ndio wako unbiased na sio mbaguzi,napo ni sababu atakuwa aswali.
 
Waisalma gani wana maendelao,hivi jamii ambayo ina watu ambao hawajasoma watakuwa na maendeleo gani zaidi ya umbea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…