Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asili ya wakristo ni jamii yenye chuki kali dhidi ya waislamKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Wa/kk/risto ni mashoga na wezi wa fedha za umma(mafisadi)Waislamu ni magaidi
Mafundisho ya kisenge yanayochochea chuki mf kuua makafiri eti utapewa mabikra 72 na mito ya pombeMfano?
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini oubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana ss
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini oubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Ni sahihi mkuu m mwenyewe n mchaga sema uislamu naujua sababu nimejichanganya nao kitambo sana ndo mana nawakubali sana hata kwenye cm yangu nimeweka nyimbo za kaswida na kwaya. Ila ukienda kule kwetu uchagani huwez kukuta uislamu hata misikiti..makanisa n mengi sana kila kijiji. Kuna siku nilipga kaswida walinishangaa mitusi kama yote. Ila uislamu naukubali kutokana na itikadi zao kama mavazi kwa watoto wa kike na watu kwenda kuswali kila siku swala tano. Japo naukubali sana lakini cjawahi kuwaza kubadili dini yangu ya ukristo👍👍👍Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini oubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Mimi najuwa ni dini ambayo wanakwenda na kopo chooniKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Kama nyie papa anasema mphilane mwanzo mwisho eti,Mafundisho ya kisenge yanayochochea chuki mf kuua makafiri eti utapewa mabikra 72 na mito ya pombe
Machame na Weruweru ni shule za serikali zinapokea watu woteShule gani ya kikristo boarding ya wanawake haina mapepo? Nimekulia uchagani nazifahamu shule nyingi tu Macha me, weruweru etc na kote wapo kibao wenye hayo matatizo.
punguza chuki, hakuna kitu km hicho, waislam ni watu pisi sanaMafundisho ya kisenge yanayochochea chuki mf kuua makafiri eti utapewa mabikra 72 na mito ya pombe
Inasikitisha sana mkuuWakk/risto ni mashoga na wezi wa fedha za umma(mafisadi)
We unamdomo mchafu sanaKama nyie papa anasema mphilane mwanzo mwisho eti,
Acheni chuki za kidini wapuuzi nyie,Tanzania ni nchi ya amani mbbwa wakubwa nyie,au wenzetu mna sehemu ya kuishi amani ikitoweka,eti?
Waislamu wengi wamekariri quran yote.
ila hawaelewi maana ya kiarabu kilichoandikwa kwenye quran
Acheni chuki za kidini pumbavu zenu,mnataka kuvuruga amani ya nchi kkenge nyie?!! Kila siku mada hizohizo,tanzania ni moja ,hakuna udini wala ukabila,kwann nyie kila siku waislam that,waislam this, pumbavu zenuWe unamdomo mchafu sana
Hayo yote ni sehemu ya mafundisho Yao Ili waendelee kuwa misukule ya kikristo lazima wamezeshwe kuwa Uislam ni kitu kibaya
Hata kitabu Cha Quran waliambiwa wasikishike ni kitabu Cha majini maana walijua wakikisoma wataujua ukweli
We ndio kiongozi wakueneza chuki za kidini humu mtandaoni,mnadhani nchi ikichafuka mtabakia salama,mnataka mambo ya kishenzi kama ya rwanda na ukabila wao, kila mtu apambane na dini yake ilimradi asivunje sheria za nchiInasikitisha sana mkuu
Waisalma gani wana maendelao,hivi jamii ambayo ina watu ambao hawajasoma watakuwa na maendeleo gani zaidi ya umbea.Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.
Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wanamsema vibaya wanatamani afe ila kila ukicha mali yake inaongezeka. Wsmefanya ushirikina mpaka basi tu.