Hayo mabango waliprinti wapi hapo kijijini! Siku zote uongo ufanane na ukweli, pia ni lini walifanya na kupata kibali cha kuandamana ili wampongeze mama! CCM uongo wa kizamani ulipitwa na wakati kwani huamsaidii mtu.
 
Lengo la serikali ya Rais Samia Suluhu ni kuboresha sekta ya kilimo na maslahi ya wakulima, Sekta ya kilimo imeimarika chini ya Rais Samia Suluhu
Kwanza naunga mkono hoja, ni halali kufanya maandamano yoyoye ya kupongeza na hii sio kwa Samia tuu, hata enzi za JPM angalia hawa TPSF walifanya nini!, Uchaguzi 2020 - Kama TPSF ni wakweli, then, JPM, CCM itashinda ushindi wa kishindo cha ajabu! But for National Unity, TL ateuliwe Ubunge kuwafariji his sympathizers?
P
 
Wazarendo wa kweri tunamuunga mkono Bashiru, nyie endelezeni tu sanaa na hadaa zenu.
 
Hayo mabango waliprinti wapi hapo kijijini! Siku zote uongo ufanane na ukweli, pia ni lini walifanya na kupata kibali cha kuandamana ili wampongeze mama! CCM uongo wa kizamani ulipitwa na wakati kwani huamsaidii mtu.
Hayo yameprintiwa Mbweni mkuu.
 
Team roho mbaya a.k.a Mwendazakw leo watalala na viatu.

Wale wakulima wa Bashiru🤣🤣🤣🤣
 
Kmmk hii nchi vichekesho haviishi yaani hii yote ni kumjibu bashiru Ili wamlizishe madam president
,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣
 
Hao ndo wakulima?
 
Kmmk hii nchi vichekesho haviishi yaani hii yote ni kumjibu bashiru Ili wamlizishe madam president
,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣
Bashiru kawajambisha hadi wameharisha kabisa
 
Ukiwaangalia tu unaona wameokotezwa......!
 
Kaka ww n mkulima bei ya mbolea ungeiweza Mzee
UREA CIF Dar es salaam unajua bei yake au unaongea tuu huyu mama mumshukuru sana mngekufa njaa masikini nyie
Kwamba hata mbolea mpaka tuagize ?

Na Pesa ya kununua hio Mbolea mpaka tuombe !!!, Kwa mtaji huu Matonya angekuwa Rais wetu angetufaa sababu inaonyesha qualification za hawa watawala ni kuombaomba na kutegemea vya kuagiza...
 
View attachment 2424194
Hivi kweli hapa kuna wakulima ?.
Yes hao ni wakulima wa kilimo cha kisasa, kilimo biashara, wana pesa!, hawa sio wale wakulima pinda mgongo wa jembe la mkono!.

Utii ni pamoja na kuamini kila unachoambiwa!, hata kama macho yako yanaona zaidi, usiwe doubtful kama Tomaso, ukiambiwa hawa ni wakulima, amini ni wakulima!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…