Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mabango waliprinti wapi hapo kijijini! Siku zote uongo ufanane na ukweli, pia ni lini walifanya na kupata kibali cha kuandamana ili wampongeze mama! CCM uongo wa kizamani ulipitwa na wakati kwani huamsaidii mtu.
Rais Samia Suluhu leo yuko ziarani mkoani Manyara na wakulima wilayani Babati mkoani Manyara wameandamana kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapunguzia bei ya mbolea.
Wakijiandaa kumpokea Rais ambaye anaanza ziara mkoani humo leo wamesema walikuwa wakinunua mbolea kwa TZS 150,000 lakini sasa wananunua kwa TZS 70,000 tu.
Sababu kubwa iliyopelekea wananchi wampongeze ni kuongeza bajeti ya Kilimo (2021/22 mpaka 2022/23) kutoka 250b hadi 950b,bajeti ya ugani kutoka 603m hadi 15b, uzalishaji mbegu kutoka 10.53 hadi 43.03b, umwagiliaji kutoka 46.5 -lhadi361.5b
Ninaona wakulima wana kila sababu ya kumpongeza Rais Samia Suluhu maana amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo, sasa mbolea wananunua kwa nusu bei, mama amefanikisha masoko ya mazao ya uhakika pia wakulima wanauza mazao kwa bei nzuri ukilinganisha na awali
pia Waziri wa kilimo, Mhe. Hussein Bashe anasema matatizo ya kilimo yamekua yakitatuliwa kwa matukio lakini Serikali ya awamu ya sita imeamua kutatua matatizo ya msingi kwa kuwekeza kwa muda mrefu ikiwemo uwekezaji wa mbegu na miradi ya umwagiliaji na ameongeza kua hakuna Mtanzania atakayekufa kwa njaa serikali imetunza chakula cha kutosha
Lengo la serikali ya Rais Samia Suluhu ni kuboresha sekta ya kilimo na maslahi ya wakulima, Sekta ya kilimo imeimarika chini ya Rais Samia Suluhu
Kwanza naunga mkono hoja, ni halali kufanya maandamano yoyoye ya kupongeza na hii sio kwa Samia tuu, hata enzi za JPM angalia hawa TPSF walifanya nini!, Uchaguzi 2020 - Kama TPSF ni wakweli, then, JPM, CCM itashinda ushindi wa kishindo cha ajabu! But for National Unity, TL ateuliwe Ubunge kuwafariji his sympathizers?Lengo la serikali ya Rais Samia Suluhu ni kuboresha sekta ya kilimo na maslahi ya wakulima, Sekta ya kilimo imeimarika chini ya Rais Samia Suluhu
Wazarendo wa kweri tunamuunga mkono Bashiru, nyie endelezeni tu sanaa na hadaa zenu.Wakulima lazima tumtie moyo Rais wetu
Bei ya mbolea kwenye soko la Dunia ni kubwa kiasi kwqnba bila ruzuku wakulima wasingeweza kulama mfano DAP $1019 per ton na ikiwa CIF Dar es sa $1215 equivalent to 140 nani mkulima.angeweza
Muwe mnampa HEKO mtu akifanya vyema
Hayo yameprintiwa Mbweni mkuu.Hayo mabango waliprinti wapi hapo kijijini! Siku zote uongo ufanane na ukweli, pia ni lini walifanya na kupata kibali cha kuandamana ili wampongeze mama! CCM uongo wa kizamani ulipitwa na wakati kwani huamsaidii mtu.
Team roho mbaya a.k.a Mwendazakw leo watalala na viatu.
Rais Samia Suluhu leo yuko ziarani mkoani Manyara na wakulima wilayani Babati mkoani Manyara wameandamana kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapunguzia bei ya mbolea.
Wakijiandaa kumpokea Rais ambaye anaanza ziara mkoani humo leo wamesema walikuwa wakinunua mbolea kwa TZS 150,000 lakini sasa wananunua kwa TZS 70,000 tu.
Sababu kubwa iliyopelekea wananchi wampongeze ni kuongeza bajeti ya Kilimo (2021/22 mpaka 2022/23) kutoka 250b hadi 950b,bajeti ya ugani kutoka 603m hadi 15b, uzalishaji mbegu kutoka 10.53 hadi 43.03b, umwagiliaji kutoka 46.5 -lhadi361.5b
Ninaona wakulima wana kila sababu ya kumpongeza Rais Samia Suluhu maana amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo, sasa mbolea wananunua kwa nusu bei, mama amefanikisha masoko ya mazao ya uhakika pia wakulima wanauza mazao kwa bei nzuri ukilinganisha na awali
pia Waziri wa kilimo, Mhe. Hussein Bashe anasema matatizo ya kilimo yamekua yakitatuliwa kwa matukio lakini Serikali ya awamu ya sita imeamua kutatua matatizo ya msingi kwa kuwekeza kwa muda mrefu ikiwemo uwekezaji wa mbegu na miradi ya umwagiliaji na ameongeza kua hakuna Mtanzania atakayekufa kwa njaa serikali imetunza chakula cha kutosha
Lengo la serikali ya Rais Samia Suluhu ni kuboresha sekta ya kilimo na maslahi ya wakulima, Sekta ya kilimo imeimarika chini ya Rais Samia Suluhu
Hilo nalo neno.Hayo yameprintiwa Mbweni mkuu.
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.
DKT BASHIRU, SONGA MBELE
Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.
Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.
Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
Bashiru kawajambisha hadi wameharisha kabisaKmmk hii nchi vichekesho haviishi yaani hii yote ni kumjibu bashiru Ili wamlizishe madam president
,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣
Ukiwaangalia tu unaona wameokotezwa......!
Rais Samia Suluhu leo yuko ziarani mkoani Manyara na wakulima wilayani Babati mkoani Manyara wameandamana kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapunguzia bei ya mbolea.
Wakijiandaa kumpokea Rais ambaye anaanza ziara mkoani humo leo wamesema walikuwa wakinunua mbolea kwa TZS 150,000 lakini sasa wananunua kwa TZS 70,000 tu.
Sababu kubwa iliyopelekea wananchi wampongeze ni kuongeza bajeti ya Kilimo (2021/22 mpaka 2022/23) kutoka 250b hadi 950b,bajeti ya ugani kutoka 603m hadi 15b, uzalishaji mbegu kutoka 10.53 hadi 43.03b, umwagiliaji kutoka 46.5 -lhadi361.5b
Ninaona wakulima wana kila sababu ya kumpongeza Rais Samia Suluhu maana amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo, sasa mbolea wananunua kwa nusu bei, mama amefanikisha masoko ya mazao ya uhakika pia wakulima wanauza mazao kwa bei nzuri ukilinganisha na awali
pia Waziri wa kilimo, Mhe. Hussein Bashe anasema matatizo ya kilimo yamekua yakitatuliwa kwa matukio lakini Serikali ya awamu ya sita imeamua kutatua matatizo ya msingi kwa kuwekeza kwa muda mrefu ikiwemo uwekezaji wa mbegu na miradi ya umwagiliaji na ameongeza kua hakuna Mtanzania atakayekufa kwa njaa serikali imetunza chakula cha kutosha
Lengo la serikali ya Rais Samia Suluhu ni kuboresha sekta ya kilimo na maslahi ya wakulima, Sekta ya kilimo imeimarika chini ya Rais Samia Suluhu
Mbona sisi Chadema tunapigwa na Polisi?ni halali kufanya maandamano yoyoye
Kwamba hata mbolea mpaka tuagize ?Kaka ww n mkulima bei ya mbolea ungeiweza Mzee
UREA CIF Dar es salaam unajua bei yake au unaongea tuu huyu mama mumshukuru sana mngekufa njaa masikini nyie
Yes hao ni wakulima wa kilimo cha kisasa, kilimo biashara, wana pesa!, hawa sio wale wakulima pinda mgongo wa jembe la mkono!.View attachment 2424194
Hivi kweli hapa kuna wakulima ?.
Mwongozaji wa hii movie kachemka mbaya. Bashiru mtu mbadi sanaView attachment 2424194
Hivi kweli hapa kuna wakulima ?.