Wakuu hii imekaaje Mbona mimi sielewi? Hebu nisaidieni tafadhali kwa wenye ujuzi

Wakuu hii imekaaje Mbona mimi sielewi? Hebu nisaidieni tafadhali kwa wenye ujuzi

Sonko Bibo

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2019
Posts
1,181
Reaction score
1,839
Nilileta hapa uzi ukizungumzia kuhusiana shida ya ujauzito iliyompata shemeji yenu.
Ambapo tarehe saba alijifungua mtoto akiwa amefariki.
Tukahudhuria hospitali kwa kipindi chote tulichotakiwa cha matibabu na huduma kwa mzazi.

Kubwa kuliko yote sasa, jana shemeji yenu kaamka haoni kabisa yaani kama hadithi vile amekuwa kipofu ghafla aisee, Siamini nahisi niko ndotoni vile japo ndio uhalisia wenyewe.
Hebu madaktari nisaidieni ujuzi juu ya hili tatizo kitaalamu imekaaje hii?
 
Pole sana side effects za ujauzito wengi wanapata shida ya kumbukumbu, uwezo wa kusikia kupungua,wengine meno kung'oka na changamoto nyingi sana hata hiyo inawezekana pia
Watu waendelee tu kutukana wanawake wanaoendeleza vizazi lakini sio rahisi kama ambavyo watu wanachukulia changamoto wanapitia nyingi sana ila hazitiliwi mkazo kwasababu uzazi unaoekana ni kitu cha kawaida.
Jaribu kumpeleka hospitali na uwe nae karibu sana anapitia magumu mno.
 
Unakuja kuuliza jamii forums:

  • Huna wazazi?
  • Huna wakwe?
  • Huna mentors?
  • Huna viongozi wa Dini?
Mkuu mpaka kufikia hapo ulipo wewe kila kitu umekuwa ukiwauliza hao uliowataja?
Kingine umejibu kwa kuhemka sana mkuu,,
Mimi ndie nimeuliza sasa na huna cha kufanya maana wanajamii wanajadili vyema tu
We mchango wako ndio huo nimeupokea mkuu uttoh2002
 
Mkuu mpaka kufikia hapo ulipo wewe kila kitu umekuwa ukiwauliza hao uliowataja?
Kingine umejibu kwa kuhemka sana mkuu,,
Mimi ndie nimeuliza sasa na huna cha kufanya maana wanajamii wanajadili vyema tu
We mchango wako ndio huo nimeupokea mkuu uttoh2002

Hiyo issue ni serious, ina majibu kutoka kwa watu wanaofaham mazingira yako! Sioni utakacho achieve hapa, sema tu hamjazoea kuambiwa ukweli.
 
Back
Top Bottom