Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 1,181
- 1,839
- Thread starter
- #41
Pre-matured pregnants huwa zinashuka with no time to alert.Kwanini mmeamua kurisk kiasi hicho? Sababu ya kujifungulia nyumbani ni nini mkuu???
Pre-matured pregnants huwa zinashuka with no time to alert.Kwanini mmeamua kurisk kiasi hicho? Sababu ya kujifungulia nyumbani ni nini mkuu???
Inawezekana dawa alizopewa ndio zimemsababishia huo upofu, una uhakika kuna dawa zozote alizopewa hapo hospitali?Tulienda muda huo huo hospitali akawa admitted.
Alidungwa sindano dose ya siku tano.Inawezekana dawa alizopewa ndio zimemsababishia huo upofu, una uhakika kuna dawa zozote alizopewa hapo hospitali?
NAKAZIA HAPAPole Sana mkuu
Omba msamaha kwa maex zako watu wanaloga sana
Alidungwa sindano dose ya siku tano.
Poleni sana, mpeleke hospitali aangaliwe shida niniPre-matured pregnants huwa zinashuka with no time to alert.
Pole sana ManNilileta hapa uzi ukizungumzia kuhusiana shida ya ujauzito iliyompata shemeji yenu.
Ambapo tarehe saba alijifungua mtoto akiwa amefariki.
Tukahudhuria hospitali kwa kipindi chote tulichotakiwa cha matibabu na huduma kwa mzazi.
Kubwa kuliko yote sasa, jana shemeji yenu kaamka haoni kabisa yaani kama hadithi vile amekuwa kipofu ghafla aisee, Siamini nahisi niko ndotoni vile japo ndio uhalisia wenyewe.
Hebu madaktari nisaidieni ujuzi juu ya hili tatizo kitaalamu imekaaje hii?
Kuna shida mahali. Hiyo Sio Karma Wala Nature. Angalia niwapi ulipo angukiaAhsante sana mkuu, napitia misuko suko tangu kipindi cha ujauzito yaani ni misuko suko inayoweza kumfanya mtu mwenye roho ndogo akatoka mbio asiangalie nyuma.
Shukrani mkuuPoleni sana, mpeleke hospitali aangaliwe shida nini
Kuna mtu namfahamu alipata shida ya jicho ghafla likawa halioni kabisa, akaenda hospital akaambiwa ni damu imevia ndani, akachomwa sindano akapona kabisa hata sasa anaona. Nendeni akapate matibabu.
Ahsante sana manPole sana Man
Sawa mkuu shukrani.Kuna shida mahali. Hiyo Sio Karma Wala Nature. Angalia niwapi ulipo angukia
Ahsante sana mkuu.Poleni sana, naamini hio hali imetokana na ujauzito na kujifungua mrudishe hospital atakua sawa tu.
Tushaokoa maisha hapa kilichobaki ni kupata dodoso juu ya hili,,Achia uzi, nenda kwenye vitendo, okoa maisha kwanza.
Mwamba usiombe uishi na baadhi ya wanawake hapa duniani,,Mrejesho ukoje?
Jaribu kuwashirikisha wazazi wa pande mbili, tatizo litakuwa ni hizo sindano.Mwamba usiombe uishi na baadhi ya wanawake hapa duniani,,
Utajuta maisha yako yote.
Huyu manzi yeye kama yeye tu hayuko sawa kabisa.
Yaani kuna muda ukimuangalia hivi unaona kabisa kuna mambo hayako sawa kwenye mwili wa huyu mwanamke.
Nimewauliza kwao kuwa kama kuna maagano yoyote yale waliyowahi kuyaingia wanakataa kata kata nikiwauliza kama kuna vita yoyote ile wanayopigana wanakata tu.
Hapa nipo na dogo ni hakuna kulala leo.
Dogo anapoteza ufahamu anabaki kama kopo hivi akishituka anakakamaa.
Oyaa sio poa.