Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.Pole sana side effects za ujauzito wengi wanapata shida ya kumbukumbu, uwezo wa kusikia kupungua,wengine meno kung'oka na changamoto nyingi sana hata hiyo inawezekana pia
Watu waendelee tu kutukana wanawake wanaoendeleza vizazi lakini sio rahisi kama ambavyo watu wanachukulia changamoto wanapitia nyingi sana ila hazitiliwi mkazo kwasababu uzazi unaoekana ni kitu cha kawaida.
Jaribu kumpeleka hospitali na uwe nae karibu sana anapitia magumu mno.