Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 1,181
- 1,839
Ahsante sana mkuu, napitia misuko suko tangu kipindi cha ujauzito yaani ni misuko suko inayoweza kumfanya mtu mwenye roho ndogo akatoka mbio asiangalie nyuma.Duh!!! Pole sana mkuu, Mungu akutie nguvu.
Nigga kuna muda mtu unachanganyikiwa kabisa, kama ni kamati hii sasa imeenda viral.Mkuu ni kweli hujui sababu? Na refer thread zako zilizopita kuhusu hili...
Ahsante mkuuPole Kiongozi
Mkuu ni kweli hujui sababu? Na refer thread zako zilizopita kuhusu hili...
AiseePole Sana mkuu
Omba msamaha kwa maex zako watu wanaloga sana
..usijaribu kutoka mbio! ni mtihani huo nina hakika utafaulu.. amini nakuambiaAhsante sana mkuu, napitia misuko suko tangu kipindi cha ujauzito yaani ni misuko suko inayoweza kumfanya mtu mwenye roho ndogo akatoka mbio asiangalie nyuma.
Ningeshatoka mbio tangu mwaka jana December hivi...usijaribu kutoka mbio! ni mtihani huo nina hakika utafaulu.. amini nakuambia
Mkuu hii ni ardhi ya Mwanza mkusanyiko wa makabila yote ukanda huu.Ni mkia gani kwanza... Kama ni Zanzibar au Tanga amelogwa.
Haoni nini? Fafanua hapo haoni siku zake au haoni nini?Kubwa kuliko yote sasa, jana shemeji yenu kaamka haoni kabisa yaani kama hadithi vile amekuwa kipofu ghafla aisee,
KipofuHaoni nini? Fafanua hapo haoni siku zake au haoni nini?
Basi huko labda uchawi wamenunua. Hao wanaloga kilimo na mifugo tu.Mkuu hii ni ardhi ya Mwanza mkusanyiko wa makabila yote ukanda huu.
Mkuu mpaka kufikia hapo ulipo wewe kila kitu umekuwa ukiwauliza hao uliowataja?Unakuja kuuliza jamii forums:
- Huna wazazi?
- Huna wakwe?
- Huna mentors?
- Huna viongozi wa Dini?
Mkuu mpaka kufikia hapo ulipo wewe kila kitu umekuwa ukiwauliza hao uliowataja?
Kingine umejibu kwa kuhemka sana mkuu,,
Mimi ndie nimeuliza sasa na huna cha kufanya maana wanajamii wanajadili vyema tu
We mchango wako ndio huo nimeupokea mkuu uttoh2002