Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.Pole sana side effects za ujauzito wengi wanapata shida ya kumbukumbu, uwezo wa kusikia kupungua,wengine meno kung'oka na changamoto nyingi sana hata hiyo inawezekana pia
Watu waendelee tu kutukana wanawake wanaoendeleza vizazi lakini sio rahisi kama ambavyo watu wanachukulia changamoto wanapitia nyingi sana ila hazitiliwi mkazo kwasababu uzazi unaoekana ni kitu cha kawaida.
Jaribu kumpeleka hospitali na uwe nae karibu sana anapitia magumu mno.
Mbona unaishusha sana Jamii forum kiasi hicho mkuu?Hiyo issue ni serious, ina majibu kutoka kwa watu wanaofaham mazingira yako! Sioni utakacho achieve hapa, sema tu hamjazoea kuambiwa ukweli.
Mbona unaishusha sana Jamii forum kiasi hicho mkuu?
Yaani watu zaidi ya laki sita wote umewa-undermine kabisa.
Hili jamvi unalichukulia kama sehemu ya kuja tu pale unapohitaji porojo zinazohusu ngono na utani mwingine.
Na mimi naelewa hivyo mkuu ndio maana mpaka sasa nimemkumbatia hapa kalala.Pole sana side effects za ujauzito wengi wanapata shida ya kumbukumbu, uwezo wa kusikia kupungua,wengine meno kung'oka na changamoto nyingi sana hata hiyo inawezekana pia
Watu waendelee tu kutukana wanawake wanaoendeleza vizazi lakini sio rahisi kama ambavyo watu wanachukulia changamoto wanapitia nyingi sana ila hazitiliwi mkazo kwasababu uzazi unaoekana ni kitu cha kawaida.
Jaribu kumpeleka hospitali na uwe nae karibu sana anapitia magumu mno.
Nigga ushaelewa vyema tu, stop beating around.Kwa hiyo kukiwa na mpasuaji Israel anaweza kukusaidia matibabu ya upasuaji kupitia Jamii forums?
Hakuna wachawi kama wasukuma nchi hiiNi mkoa gani kwanza... Kama ni Zanzibar au Tanga amelogwa.
Kama ni sogea tuishi, hao wote uliotaja hai function.Unakuja kuuliza jamii forums:
- Huna wazazi?
- Huna wakwe?
- Huna mentors?
- Huna viongozi wa Dini?
Hupajui usukumaniBasi huko labda uchawi wamenunua. Hao wanaloga kilimo na mifugo tu.
Hayo ni mawazo yako.Hupajui usukumani
Hospitali wamesemaje? Imeshindikana kutibiwa?Na mimi naelewa hivyo mkuu ndio maana mpaka sasa nimemkumbatia hapa kalala.
Namuangalia kwa huzuni tu na huruma.
Namcheki dokta hapa anasema nisubiri akitoka kwenye kikao atanipigia tuongee.Hospitali wamesemaje? Imeshindikana kutibiwa?
Alijifungulia nyumbani.Wakati wa kujifungua alijifungua kawaida au alipigwa drip?
ππ kwanini unataka matibabu ya online??? Kwanini msiende hospital?? Au pesa shida??Namcheki dokta hapa anasema nisubiri akitoka kwenye kikao atanipigia tuongee.
Kwa mazingira hayo, ina maana hakutumia dawa yoyote?Alijifungulia nyumbani.
Huyo ndie mtu ambae amekuwa akimpa huduma muda wote mkuu.ππ kwanini unataka matibabu ya online??? Kwanini msiende hospital?? Au pesa shida??
Kwanini mmeamua kurisk kiasi hicho? Sababu ya kujifungulia nyumbani ni nini mkuu???Alijifungulia nyumbani.
Tulienda muda huo huo hospitali akawa admitted.Kwa mazingira hayo, ina maana hakutumia dawa yoyote?
Kuna kitu hakipo sawa na wewe pamoja na mwenzio......Huyo ndie mtu ambae amekuwa akimpa huduma muda wote mkuu.