Wakuu hii imekaaje Mbona mimi sielewi? Hebu nisaidieni tafadhali kwa wenye ujuzi

Pre-matured pregnants huwa zinashuka with no time to alert.
Poleni sana, mpeleke hospitali aangaliwe shida nini

Kuna mtu namfahamu alipata shida ya jicho ghafla likawa halioni kabisa, akaenda hospital akaambiwa ni damu imevia ndani, akachomwa sindano akapona kabisa hata sasa anaona. Nendeni akapate matibabu.
 
Pole sana Man
 
Poleni sana, naamini hio hali imetokana na ujauzito na kujifungua mrudishe hospital atakua sawa tu.
 
Achia uzi, nenda kwenye vitendo, okoa maisha kwanza.
 
Mrejesho ukoje?
Mwamba usiombe uishi na baadhi ya wanawake hapa duniani,,
Utajuta maisha yako yote.
Huyu manzi yeye kama yeye tu hayuko sawa kabisa.
Yaani kuna muda ukimuangalia hivi unaona kabisa kuna mambo hayako sawa kwenye mwili wa huyu mwanamke.

Nimewauliza kwao kuwa kama kuna maagano yoyote yale waliyowahi kuyaingia wanakataa kata kata nikiwauliza kama kuna vita yoyote ile wanayopigana wanakata tu.
Hapa nipo na dogo ni hakuna kulala leo.
Dogo anapoteza ufahamu anabaki kama kopo hivi akishituka anakakamaa.
Oyaa sio poa.
 
Jaribu kuwashirikisha wazazi wa pande mbili, tatizo litakuwa ni hizo sindano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…