Wakuu hivi rafiki akifa ndani kwako Sheria inasemaje kuhusu hilo?

Kwa upelelezi wa kiduanzi wa polisi ya Tanzania, hapa nilazima usagiwe kunguni tu...
 
Umenikumbusha polygraphy...
 
...na huko Lodge unaandika nickname !
 
Utaenda ukanyee debe!
 
Kwanza Utakwenda Ndani (lock up) utapisha uchunguzi sasa si unajua makarau wa Tz iyo lock up mzee mwaka 1 ss tokeo likitoka kama upo salama bac utakuwa una story za kuadisia mtaani Hicho ndicho kitakacho tokea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…