Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Pale nikipigwa siyoInasikitisha sana!
Ila battery zao hamna kituSolar ni Sundar, Sundar Solar panel, Sundar Solar subwoofer, Sundar Solar TV jipatie leo mtambo wako wa Sundar.
Inasikitisha sana!
Nyepesi nyepesi niliwahi ambiwa sunda haidumuSolar ni Sundar, Sundar Solar panel, Sundar Solar subwoofer, Sundar Solar TV jipatie leo mtambo wako wa Sundar.
Inasikitisha sana!
Nakubali wanasema mwanzoni utatisha sana ila baada ya muda kwisha habar yakoIla battery zao hamna kitu
Mysol ni MAJAMBAZI,usithubutuJana niliandika uzi huu kwenye jukwa la biashara na uchumi lakini nimekoswa wachangiaji
nipo serious mwakani kama Mungu ataruhusu basi nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo.
Awali nilinunua mtambo wa mysol ule wa kati kwa mkopo kama sijasahau ni m 3.8 hivi.Siwezi sema ni mbaya hapana kwa sababu kwa matumizi ya kijijni kwa wazee wangu hawajawahi sema shida yoyote zaidi ya kushukuru tu kila ninapo wauliza kama una changamoto au lah.
Shida ya Mysol ni pale huwezi kutumia mtambo wao nje na bidhaa zao tu. Yaani ile system yao inakulazimu kila kitu ununue kwao shida ni kwamba mimi nahitaji sola hiyo inisaidie kwenye mwanga,incubator,machine ya kunyolea,na friji kidogo, tv na bufa.
Bahati mbaya Mysol kama nilivyoeleza basi ukitaka bufa ununue kwao ugumu ni kwamba sio kila bidhaa wanazo wao lazima natakiwa niwe huru na solar yangu nikiwa nahitaji kufanya hiki nifanye kwa uhuru wote.
Basi kwa anayejua mtambo wowote mzuri naomba aniambie hapahapa sitaki mtu aje inbox bali anielekeze hapahapa.Bajeti yangu ni m3. ahsante sana
Wakuu kati ya kampuni hizi za sola D.light, MySol, SunKing na nyingine unazozijua ipi imara na mzuri?
Inshallah mwakani nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo. Naomba Kwa wanao jua nitahitaji mambo wa solar Kwa ajiri ya mwaga,kutotoreshea vifaranga na burudani kidogo si unajua porini Tena. Mimi binafisi nilinunua mtambo wa mySol Kwa mkopo kama m3 na ushee mtambo wa kati na ipo...www.jamiiforums.com
Sundar inakupa uhuru wa kutumia vifaa mf. TV kutoka kampuni nyingine.Pale nikipigwa siyo
Baaya ya mwaka hivi ubora UNAPOTEA, kuna battery jina lake kama SIO RITA ni ndio nzuri hata bei zake zipo juu SanaNakubali wanasema mwanzoni utatisha sana ila baada ya muda kwisha habar yako
Mysol ndo nilinunua kwa mkpo solar zao na beteri sio mbayaMysol ni MAJAMBAZI,usithubutu
Huenda ni kweli, maana ipo battery hapa imetumika miaka mitano ndio imekufa mwezi huu, Solar bado iko clean as new.Nyepesi nyepesi niliwahi ambiwa sunda haidumu
Mkuu bei sio shida kikubwa kitu imara heri ninunue beteri na sola na taa tu halafu mengine badaeBaaya ya mwaka hivi ubora UNAPOTEA, kuna battery jina lake kama SIO RITA ni ndio nzuri hata bei zake zipo juu Sana
Uliwakopa mkuu?Kabla sijasoma Uzi wako, !!! Kama unaona umenenepa mnoo jiunge na hao my sol, ili upungue,
NAKAZIA hao ndio MOBISOL walibadili jina.Mysol ni MAJAMBAZI,usithubutu
mkuu nimezichek kwa mwonekano ni nzuri. je umewahi kuzitumia ? wanauzaje?Nakushauri chukua mtambo wa Zola hautajutia mkuu,Zola Wana battery imara sana.