Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha anaweza akaanzisha makaazi yake dampo.

Nayasema haya kwa sababu watanzania wengi ukiwasikiliza wakiizungumzia vilabu vya Simba na yanga unaweza ukadhani kuwa labda hawana ubongo bali samadi katika mafuvu yao. Mtu yuko tayari kukiita cheupe cheusi, watu wamejaa biasness na baadhi yao wako humu humu JF.

Hizi ngonjera za Simba na yanga imenikasirisha na najua zimesababishwa na nguvu kubwa ya ushawishi ya viongozi wa Serikali katika soka la Tanzania jambo ambalo binafsi nalichukulia kama ukumanyoko na ningefurahi fifa ingeifungia Tanzania kwa miaka zaidi ya mitano ili tujifunze.

Ngoja nisiendelee.......
 
Hizi ngonjera za Simba na yanga imenikasirisha na najua zimesababishwa na nguvu kubwa ya ushawishi ya viongozi wa Serikali katika soka la Tanzania jambo ambalo binafsi nalichukulia kama ukumanyoko na ningefurahi fifa ingeifungia Tanzania kwa miaka zaidi ya mitano ili tujifunze.❗❗❗📌📌📌🔨🔨🔨
 
Si wanasema pambana na hali yako? Wengine wakasema ganda la muwa la juzi chungu kaona kivuno?
 
Hizi ngonjera za Simba na yanga imenikasirisha na najua zimesababishwa na nguvu kubwa ya ushawishi ya viongozi wa Serikali katika soka la Tanzania jambo ambalo binafsi nalichukulia kama ukumanyoko na ningefurahi fifa ingeifungia Tanzania kwa miaka zaidi ya mitano ili tujifunze.❗❗❗📌📌📌🔨🔨🔨
😅😅
 
Sahihi kbsa ila soon rungu linashuka
 
Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha anaweza akaanzisha makaazi yake dampo.

Nayasema haya kwa sababu watanzania wengi ukiwasikiliza wakiizungumzia vilabu vya Simba na yanga unaweza ukadhani kuwa labda hawana ubongo bali samadi katika mafuvu yao. Mtu yuko tayari kukiita cheupe cheusi, watu wamejaa biasness na baadhi yao wako humu humu JF.

Hizi ngonjera za Simba na yanga imenikasirisha na najua zimesababishwa na nguvu kubwa ya ushawishi ya viongozi wa Serikali katika soka la Tanzania jambo ambalo binafsi nalichukulia kama ukumanyoko na ningefurahi fifa ingeifungia Tanzania kwa miaka zaidi ya mitano ili tujifunze.

Ngoja nisiendelee.......
Ndio maana Mimi nimegeukia Ngumi,Hazina kutegea!
 
Hizi ngonjera za Simba na yanga imenikasirisha na najua zimesababishwa na nguvu kubwa ya ushawishi ya viongozi wa Serikali katika soka la Tanzania jambo ambalo binafsi nalichukulia kama ukumanyoko na ningefurahi fifa ingeifungia Tanzania kwa miaka zaidi ya mitano ili tujifunze.❗❗❗📌📌📌🔨🔨🔨
Na wewe na wenzako mlipokimbia March nane,ndiyo sababu imeleta yote haya,ni ujinga mkubwa timu inawachezaji 30,unapata majeruhi wawili unakimbia mechi
 
Mkuu ni Simba lakini siwatetei maana wao pia nai wajinga wajinga tu.
Mpira wetu una ujinga ujinga mwingi nakubali kabisa,ila kwa sekeseke hili, Simba hawawezi kukwepa lawama pamoja na hao kina walioondolewa,na inawezekana tukapata angalau ka weledi hata nusu,maana mambo mengi yanafanyika kienyeji enyeji sana
 
Back
Top Bottom