Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

Mpira wetu una ujinga ujinga mwingi nakubali kabisa,ila kwa sekeseke hili, Simba hawawezi kukwepa lawama pamoja na hao kina walioondolewa,na inawezekana tukapata angalau ka weledi hata nusu,maana mambo mengi yanafanyika kienyeji enyeji sana
Mi nipo kwenye kifungo cha wiki nzima kwa ajili ya kuitaka FIFA itupige ban.
 
Kwenye jukwaa kubishana Simba na Yanga ni kama ku refresh tu
Ila binafsi Nina shughuli zangu hapa jukwaani huwa nakuja kupopoana na watani zangu wa Simba Kwa muda wa ziada
Hahahaha, hapo sawa mkuu, nilikuwa nimeshaanda hela kukupeleka Dodoma kwa therapy kumbe huwa humaanishi 😅.
 
Simba na Yanga ni timu za government! Ndio maana mtu smart upstairs huwezi Kuta anotokwa povu kwa ya hizo timu.Kuna waliogomea uchaguzi ndio walitakiwa waitwe na tusikie tunashoriki uchaguzi sio haya matimu Ambayo hayana tofauti na ule moto unaotembezwa na kusababisha udumavu wa akili kwa Watanganyika.
 
Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha anaweza akaanzisha makaazi yake dampo.

Nayasema haya kwa sababu watanzania wengi ukiwasikiliza wakiizungumzia vilabu vya Simba na yanga unaweza ukadhani kuwa labda hawana ubongo bali samadi katika mafuvu yao. Mtu yuko tayari kukiita cheupe cheusi, watu wamejaa biasness na baadhi yao wako humu humu JF.

Hizi ngonjera za Simba na yanga imenikasirisha na najua zimesababishwa na nguvu kubwa ya ushawishi ya viongozi wa Serikali katika soka la Tanzania jambo ambalo binafsi nalichukulia kama ukumanyoko na ningefurahi fifa ingeifungia Tanzania kwa miaka zaidi ya mitano ili tujifunze.

Ngoja nisiendelee.......
Msikie mwamba

Ova
 

Attachments

  • VID-20250612-WA0024.mp4
    8.7 MB
Simba na Yanga ni timu za government! Ndio maana mtu smart upstairs huwezi Kuta anotokwa povu kwa ya hizo timu.Kuna waliogomea uchaguzi ndio walitakiwa waitwe na tusikie tunashoriki uchaguzi sio haya matimu Ambayo hayana tofauti na ule moto unaotembezwa na kusababisha udumavu wa akili kwa Watanganyika.
Fact fact fact 😎.
 
Yani napambana sana niache huu upuuzi...
Nitaangalia kombe la vilabu...
Kumbe rais aliwaita kabla trh haijabadilishwa...usenge sana huu
Ulikuwa mgogoro hewa wana siasa wanatumia hizi timu kupambaza Watanganyika
Hamna muda wakujadili bajeti ya serikali mbovu mpo busy na mgogoro hewa wa Simba na Yanga
Hamna muda wa kujadili changamoto zenu vijana hawana ajira, shule hazina madawati, wajawazito wanalala chini mpo busy kujadili mgogoro wa kutengeneza

Ila. Hata Mimi nikifika humu najua kuwa nafanya ujinga ila naufanya tu

" When you are in Rome do as Romans
 
Ukiwa shabiki wa simba na Yanga ni lazima uwe na matatizo ya akili
 
Back
Top Bottom