Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

Ulikuwa mgogoro hewa wana siasa wanatumia hizi timu kupambaza Watanganyika
Hamna muda wakujadili bajeti ya serikali mbovu mpo busy na mgogoro hewa wa Simba na Yanga
Hamna muda wa kujadili changamoto zenu vijana hawana ajira, shule hazina madawati, wajawazito wanalala chini mpo busy kujadili mgogoro wa kutengeneza

Ila. Hata Mimi nikifika humu najua kuwa nafanya ujinga ila naufanya tu

" When you are in Rome do as Romans
Yanii tunaangamia kwa kukosa maarifa...
 
Hapo nimekuelewa mkuu, lakini watu wengine wako siriazi sana.
Wenye akili tulikuwa huu mgogoro hewa ili kuficha mambo ya msingi
Kati huu mgogoro
Lissu kupewa kesi ya uhaini
CCM kupata mgombea pekee sidhani kama ishatokea kwenye history
Mdude kupotea
Bajeti imeongeza tozo kwenye petroleum na dizel hii litaongeza nauli na mfumko wa bei
Watu tuko busy na mgogoro hewa wa Simba na Yanga
 
Hizi ngonjera za Simba na yanga imenikasirisha na najua zimesababishwa na nguvu kubwa ya ushawishi ya viongozi wa Serikali katika soka la Tanzania jambo ambalo binafsi nalichukulia kama ukumanyoko na ningefurahi fifa ingeifungia Tanzania kwa miaka zaidi ya mitano ili tujifunze.❗❗❗📌📌📌🔨🔨🔨
Kabisa kama kuna namna ya kuripoti kwa FIFA watu tuambiane tusogeze kunguni hawa
 
Wenye akili tulikuwa huu mgogoro hewa ili kuficha mambo ya msingi
Kati huu mgogoro
Lissu kupewa kesi ya uhaini
CCM kupata mgombea pekee sidhani kama ishatokea kwenye history
Mdude kupotea
Bajeti imeongeza tozo kwenye petroleum na dizel hii litaongeza nauli na mfumko wa bei
Watu tuko busy na mgogoro hewa wa Simba na Yanga
Watanzania tuamke Kutoka kwenye usingizi wa pono.
 
Hizi ngonjera za Simba na yanga imenikasirisha na najua zimesababishwa na nguvu kubwa ya ushawishi ya viongozi wa Serikali katika soka la Tanzania
Nina uhakika matatizo yote, ya kwako binafsi, ya familia na hadi ya ukoo wako hakuna hata moja lililosababishwa na Mashabiki wa Uto na Mnyama! Tanzania ina watu wenye ufahamu wasiopungua 40M. Ni kiumbe wa ajabu tu ndie atatarajia hawa 40M wote watumie muda wao kama unavyoutumia wewe ingawaje pia nina wasiwasi ikiwa hata huo muda wako na mwenyewe unautumia vizuri iwe kwa manufaa yako binafsi au angalau kwa manufaa ya taifa!
 
Nenda mirembe la sivyo tutakushika kwa nguvu tukupeleke.
 
Wana siasa wanajua weakness ya watanganyika ipo kwenye Simba na yanga mixer udaku(wasanii) mpka hapo watu masuala ya budget sijui lisu washayasahau tayar.
Ukifungwa mnyororo kwenye akili kuutoa ni ngumuli kufunga kwenye miguu na Mikono.
Umombozi ni kitu kigumu sana mkuu.
 
Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha anaweza akaanzisha makaazi yake dampo.

Nayasema haya kwa sababu watanzania wengi ukiwasikiliza wakiizungumzia vilabu vya Simba na yanga unaweza ukadhani kuwa labda hawana ubongo bali samadi katika mafuvu yao. Mtu yuko tayari kukiita cheupe cheusi, watu wamejaa biasness na baadhi yao wako humu humu JF.

Hizi ngonjera za Simba na yanga imenikasirisha na najua zimesababishwa na nguvu kubwa ya ushawishi ya viongozi wa Serikali katika soka la Tanzania jambo ambalo binafsi nalichukulia kama ukumanyoko na ningefurahi fifa ingeifungia Tanzania kwa miaka zaidi ya mitano ili tujifunze.

Ngoja nisiendelee.......
Ukipata mke Kama wew mwenyew Idea Kama zangu!! Hapo tutaishi kwa furaha sanaa!! Maan mi mwenyew wamenikera mpka sasahiv sizani Kama ntashabikia timu yoyote! Sipend mtu asiye na msimamo
 
Nenda mirembe la sivyo tutakushika kwa nguvu tukupeleke.
Tatizo Machizi hawafahamu kwamba ni machizi! Na uchizi wenyewe ndo huo wa kudhani matatizo yako yanasababishwa na wanaoshabikia Yanga na Simba lakini huwezi kufahamu kwa sababu ni mwenyewe kama dawa zimekuishia basi unatakiwa kufanya haraka ukapewe dozi nyingine! Wasalimie ukifika
 
Back
Top Bottom