Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha anaweza akaanzisha makaazi yake dampo.

Nayasema haya kwa sababu watanzania wengi ukiwasikiliza wakiizungumzia vilabu vya Simba na yanga unaweza ukadhani kuwa labda hawana ubongo bali samadi katika mafuvu yao. Mtu yuko tayari kukiita cheupe cheusi, watu wamejaa biasness na baadhi yao wako humu humu JF.

Hizi ngonjera za Simba na yanga imenikasirisha na najua zimesababishwa na nguvu kubwa ya ushawishi ya viongozi wa Serikali katika soka la Tanzania jambo ambalo binafsi nalichukulia kama ukumanyoko na ningefurahi fifa ingeifungia Tanzania kwa miaka zaidi ya mitano ili tujifunze.

Ngoja nisiendelee.......
Hakika, nakuunga mkono..
Njoo kwa mama mage hapa upate kopo mbili za mbege..
 
Mi mkimuona kuna mtu anashabikia yanga huko mtaani nisaidieni kumkamata mumpeleke mirembe nitalipia gharama za matibabu yake
Lazima nimkamate Labani Og ila gharama ya matibabu yake ni kubwa sana maana amekubuhu.
 
Back
Top Bottom