Usimsahau na GENTAMYCINELazima nimkamate Labani Og ila gharama ya matibabu yake ni makubwa sana maana amekubuhu.
Usimsahau na GENTAMYCINELazima nimkamate Labani Og ila gharama ya matibabu yake ni makubwa sana maana amekubuhu.
Tatizo watu wanategeana kusema No reform No electionNdio maana Mimi nimegeukia Ngumi,Hazina kutegea!
Hao wahuni ni kupiga fimbo za mgongoniLazima nimkamate Labani Og ila gharama ya matibabu yake ni makubwa sana maana amekubuhu.
GENTAMYCINE nimeshmpeleka ndo maana siku hizi amaebadilika.Usimsahau na GENTAMYCINE
😂😂Hao wahuni ni kupiga fimbo za mgongoni
Mama wa mipashoSaa10 katuharibia kila kitu
Yuko chimbo ana andaa nondo zake, aje kutupasha habari za ndani zaidGENTAMYCINE nimeshmpeleka ndo maana siku hizi amaebadilika.
Lakini tatizo likimvaa nitampeleka tena na tena bila kuchoka.
Hebu tumsubiri. Hizo nondo ndo zitathibitisha kama amepona mazima au bado ana tatizo.Yuko chimbo ana andaa nondo zake, aje kutupasha habari za ndani zaid
Hahahaha 🤣😂Brazaa🤣🤣
Kumbe mimi ni mgida bia😆😆😆Hahahaha 🤣😂
Hapa JF wewe ni namba moja kwenye hivyo ishu 😎.Kumbe mimi ni mgida bia😆😆😆