Wakuu meridian bet ni matapeli au siwaelewi nimeshinda milioni 10 jana wamefunga account

Wakuu meridian bet ni matapeli au siwaelewi nimeshinda milioni 10 jana wamefunga account

Yaani Hawa jamaa nashindwa kuwaelewa mpaka sasaa hivi nimeshinda milioni 10 tangia Jana Kila nikiingia kwenye account inakataa kumbe Hawa jamaa ni matapeli aisee modds naombeni msiunganishe na jukwaa la wazee wa kubet
Sasa wewe umejuaje kama umeshinda hizo mil.10 kama huwezi kulog in...
Anyway kwa ushauri wa haraka tembelea tawi la meridian bet lililo karibu yako...
 
Inamaana wewe ukibet huzijui timu zako ulizobetia kama zimeshinda
Ushaid ni muhim sana kupata haki yako especially kwenye betting. Odds zinaweza zikabadlishwa ukapewa access ya akaunti yako. Uwe una screenshot ili haki yako isipotee kirahis. malalamiko yako hayana mashiko, ukipeleka kesi mahakaman utaonesha nini sasa bro? Fikiri nje ya box niga
 
Imeshakubali nahisi ilikua mtandao unasumbua
 
Back
Top Bottom