Wakuu meridian bet ni matapeli au siwaelewi nimeshinda milioni 10 jana wamefunga account

Mna utoto mwingi sana siku hizi Jf, watu kama hawa sio mbaya kama forum ikiamua kuuza taarifa zao wakashitakiwe, haiwezekani makampuni yanawekeza hela nyingi halafu mshamba mmoja ambaye bila chuo asingekuja mjini analeta upuuzi.

Grow up kido hii sio kijiwe cha wapumbavu wenzio
 
Hujielewi pambana na Hali Yako
 
Wewe itakua hujielewi
Screenshot_20250213-143610.png

Jitihad kuzingatia Kuwai hospitali milembe kabla tatizo la afya ya akili halijazidi kua kubwaa.

HAYA SASA AMKA HAPO ULIPO FANYA KUKIMBIA FASTER KUWAHI MILEMBE HOSPITAL.
 
Umetoka m-pawa Voda umeenda M-Bet.kazi IPO
KAZI ni kipimo cha utu
 
Mna utoto mwingi sana siku hizi Jf, watu kama hawa sio mbaya kama forum ikiamua kuuza taarifa zao wakashitakiwe, haiwezekani makampuni yanawekeza hela nyingi halafu mshamba mmoja ambaye bila chuo asingekuja mjini analeta upuuzi.

Grow up kido hii sio kijiwe cha wapumbavu wenzio
Dogo anasound like ana depression. Anawakia kwenye gea halafu Uzi wake mwenyewe hataki tumdodose
 
Ila wabongo wengine bhana sijui wanafikiri vipi. Mtu aliebeti anaweza kukopi betslip kwenye karatasi au akariri namna alivyobeti kama timu sio nyingi, sasa kumuuliza amejuaje ameshinda ni swali la hovyo sana.
 
Back
Top Bottom