Wakuu meridian bet ni matapeli au siwaelewi nimeshinda milioni 10 jana wamefunga account

Wakuu meridian bet ni matapeli au siwaelewi nimeshinda milioni 10 jana wamefunga account

Meridian ni kati ya kampuni ambazo hazina longolongo kabisa kwa uzoefu wangu
 
Sasa umejuaje umeshinda wakati hujaona mkeka wako?
Mkuu kwani wewe ukiwa ume betting so unaandika timu ulizo betting kwenye Daftari na matokeo unfamiliar au wewe una Bet je?
 
Back
Top Bottom