Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #21
Wewe za nini mzeeTuoneshe izo 10m
Wewe za nini mzeeTuoneshe izo 10m
Mkuu mkeka uko wapImeshakubali nahisi ilikua mtandao unasumbua
Mkeka upi mkuuMkuu mkeka uko wap
Nakazia aweke screenshot hapa👿Tuoneshe izo 10m
SiwekiNakazia aweke screenshot hapa👿
Akikuonesha huo mkeka, njoo inbox nikupe ten ya voutcherMkuu mkeka uko wap
Wivu mbaya sana kwenye maishaAkikuonesha huo mkeka, njoo inbox nikupe ten ya voutcher
Bila evidence hapa itakua ni kujifurahishaa...yaani unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe 😅 😂 🤣Yaani Hawa jamaa nashindwa kuwaelewa mpaka sasaa hivi nimeshinda milioni 10 tangia Jana Kila nikiingia kwenye account inakataa kumbe Hawa jamaa ni matapeli aisee modds naombeni msiunganishe na jukwaa la wazee wa kubet
Punguza porojo huku sio fb dogoWivu mbaya sana kwenye maisha
Nishamaliza mjadala mbonaBila evidence hapa itakua ni kujifurahishaa...yaani unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe 😅 😂 🤣
Huo ulioshindaMkeka upi mkuu
Poa mkuu ngoja jamaa afanye jambo nipate ile tenAkikuonesha huo mkeka, njoo inbox nikupe ten ya voutcher
Pambana na. Hali Yako mzeePunguza porojo huku sio fb dogo
Mkuu huyu dogo kaanzia kwanza kule kwenye Uzi wake wa M.wekeza akapigwa spana akakimbia ss amehemia hukuBila evidence hapa itakua ni kujifurahishaa...yaani unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe 😅 😂 🤣
Mimi sio mjinga kuweka I'd ya meridian humuHuo ulioshinda
Sawa unatumia haki yako ya kikatibaNishamaliza mjadala mbona
Uhuru uvuke mipaka kwani nimetumia Cha mtuSawa unatumia haki yako ya kikatiba
NB.
Angalia uhuru usije vuka mipaka ni angalizo TU.
Kila lakheli kwenye kutumia izo 10m zako.
Uhuru umevuka mipaka 🤣🤣😂😂 uhuru ukivuka mipaka hugeuka nakua fujoo.Mkuu huyu dogo kaanzia kwanza kule kwenye Uzi wake wa M.wekeza akapigwa spana akakimbia ss amehemia huku