Wakuu meridian bet ni matapeli au siwaelewi nimeshinda milioni 10 jana wamefunga account

Wakuu meridian bet ni matapeli au siwaelewi nimeshinda milioni 10 jana wamefunga account

Endelea kuumia mzee nasubiri mtando ukae sawa meridian niongezee mzigo hapa nawithdraw meridian naweka m wekeza pole sanaa unauliza🤣🤣🤣🤣
Sawa tajiri..boss kubwa..big boss kila lakheli.
ENDELEA KUNYWA MAZIWA NA TAULO
NB.
Angalizo,
HIO SCREEN SHOT ISIJE KUA UMEI EDIT 😅
 
Pole sana endelea kuumia nasubiri meridian mtandao ukae sawa ni withdrawal halafu niweke mzigo humu m wekeza pole sanaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Pole hainisaidii Mimi jipe pole mwenyewe 😅 Mimi Nina Maisha yangu na sio tegemezi wako Wala sina husda Wala wivu wowote Kwako unanipa pole ya Nini.

Muda huu nimeamua kufanya RECREATION ACTIVITIES kwenye hii thread yako infact NIPO NAKUPUMZIKIA 🤣🤣😂
 
Wivuuuuuuuu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi nina njaa?! We unamfahamu kila mtu humu mbali na haya majina batili?!

Unazijua gharama za kuchafua brand za watu zilizofanyiwa uwekezaji wa pesa nyingi kwa muda mrefu mpaka zikasimama na dunia ikazijua?! Shauri yako
Wivuuuuuuuu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umenielewa lakini yaani nikiingia inagoma yaani kama mtu anaeingiza password tofauti wakati account Ina miaka 5 aisee
Kawashtaki uwadai na fidia kwa kukusababishia tingishiko la moyo
 
Back
Top Bottom