Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

Uzuri unajua sana kujieleza na una uwezo mkubwa wa hoja,utafika mbali.
Kaka nashukuru sana kabla sijaja humu nilifikiria kuwaalika watu Moja kwa Moja kwenda kwenye kazi zangu ila nikajiuliza je Nina uhakika Hawa watu wa humu jamii forum Wana elimu na mitindo? Je hawawezi nichomesha kule, Nika sema nijaribu nadhani umeona reply yao ilivo wananiita shoga, kumbe Hawa ninge wapeleka kwenye kazi zangu wange haribu Tena sana kabisa hivo mpaka nijiridhishe na uelewa wao ili wasiharibu kule hii ni kazi kaka, si miosho au kutafuta kiki za kijinga au umaarufu jf no hii kwangu ni kazi nmeepusha na nmejifunza mengi sana.


Asante na karibuu
 
Huwezi kufika 10 bila kuanzia kwenye 1
 
Kuna mtu wako wakaribu Alisha liwa jicho ili atoboe au ulisikia tu kwa watu na we ukabeba kwenda kusimulia watu? Kuliwa jicho ni matakwa ya mtu mbona afande wa Zanzibar aliliwa au yule mwalimu aliekuwa anachapwa na mwanafunzi wake, una maanisha nasi tukisikia we ni mwalimu au afande tuaamini tayari washa zibua mtalo?


Asante na karibuu
 
Kwa kifupi humu Jf kuna watu wa aina zote wazuri na wabaya so tegemea lolote
 
Involuntary action
Ni sawa na kumwambia mtu akufanye ulie alafu akikufanya ulie haulii
Bora umenisaidia kaka, lengo ni kujitambulisha sio kutambulisha kazi muda ukifika tasema, kila kitu kina utaratibu wake mi sio wale wakuokoteza ndugu naheshimu kipaji changu kaka


Asante na karibuu
 
Piga kazi ila hakikisha tu unaulinda sana
 
Pole sana
Hii ndio JF
Unakuta mtu kaandika nyuzi
Comment ya kwanza ni tusi au kipondo

Ni kuwa mvumilivu na usikate tamaa
Humu wajuaji ni wengi
 
Ebu tuchekeshe kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…