Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Usijiweke bize sana, watakuwa wanakuogopaSijawahi kuombwa namba/ kutongozwa na mwanamke. Nikimpata waaina hiyo nitafurahi
Kweli mambo yamebadilikaMwaka.mpya mambo mapya
Mwanaume halisi kabisa, na moto wanapelekewa wa hatariMkuu una uhakika wewe ni mwanaume au una muonekano wa kiume? samahani lakini...
Yanatokea hapa duniani
Sijui kama wanaangalia picha, nadhani labda wanakuwa kwenye ule usemi, mzigo mzito mpe mnyamweziEm picha yako tukuone usijekua unafanana na harmorepe πππ unakuja kutuinjoiiii
Wengi wanakuwa ni wasaka fursa n.kInakera sana nyakati una upwiru huna hata kumi account huwaoni ukianza kuonja pesa mbili tatu unashangaaa unakutana nao tu hata huelewi wametoka wapi na wengi beki hazikabi
Ni swala la muda tu,wazuri nao watakujaTatzo wankuja wabovu π
Ni kweli mambo yamebadilika, ingawa mizinga itakuwa palepalewadada wanaomba namba vizuri tu na wanakutia kwenye kona ya mtongozo mpaka unaingia kingi!,wapo wenye aibu watakutongoza kwa matendo na usipoelewa ukajifanya kichwa ngumu basi atageuka kuwa adui yako!. mwanamke ni attention seeker! na ukishagundua hilo balance mambo usiwe rahisi sana na usiwe mgumu sana!.. itategemea nawe unamuhitaji kwa kiasi gani. ila hata akikuomba namba si kila akikutafuta uwe active utaonekana garasha! utachokwa haraka mno.
wadada wanajua kutongoza nyie...π