Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mambo yamebadilika wakuu
Zamani ilikuwa mwanaume ndio anaomba namba kwa mwanamke, na anaishia kuzungushwa zungusha na mwisho wa siku anaweza asipewe namba.
Ila nyakati hizi mambo yamebadilika; wanawake ndio wanaomba namba, na ukimpatia tu; anaanza kukusumbua muweze kuonana na kupangilia mahusiano ya kudumu.
Mara kadhaa kwangu imenitokea, nikahisi labda kwa sababu ya wao kuwa wengi, na soko kuchuja.
Wakuu, mlishakutana na hii hali?