Wakuu, mlishakutana na hii hali?

Wakuu, mlishakutana na hii hali?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Mambo yamebadilika wakuu

Zamani ilikuwa mwanaume ndio anaomba namba kwa mwanamke, na anaishia kuzungushwa zungusha na mwisho wa siku anaweza asipewe namba.

Ila nyakati hizi mambo yamebadilika; wanawake ndio wanaomba namba, na ukimpatia tu; anaanza kukusumbua muweze kuonana na kupangilia mahusiano ya kudumu.

Mara kadhaa kwangu imenitokea, nikahisi labda kwa sababu ya wao kuwa wengi, na soko kuchuja.

Wakuu, mlishakutana na hii hali?
 
.
 
Attachments

  • 71A94035-E8EF-43E8-A6DF-838F49FB7D59.gif
    71A94035-E8EF-43E8-A6DF-838F49FB7D59.gif
    1.5 MB · Views: 2
wadada wanaomba namba vizuri tu na wanakutia kwenye kona ya mtongozo mpaka unaingia kingi!,wapo wenye aibu watakutongoza kwa matendo na usipoelewa ukajifanya kichwa ngumu basi atageuka kuwa adui yako!. mwanamke ni attention seeker! na ukishagundua hilo balance mambo usiwe rahisi sana na usiwe mgumu sana!.. itategemea nawe unamuhitaji kwa kiasi gani. ila hata akikuomba namba si kila akikutafuta uwe active utaonekana garasha! utachokwa haraka mno.

wadada wanajua kutongoza nyie...😂
 
Inakera sana nyakati una upwiru huna hata kumi account huwaoni ukianza kuonja pesa mbili tatu unashangaaa unakutana nao tu hata huelewi wametoka wapi na wengi beki hazikabi
Wengi wanakuwa ni wasaka fursa n.k
 
wadada wanaomba namba vizuri tu na wanakutia kwenye kona ya mtongozo mpaka unaingia kingi!,wapo wenye aibu watakutongoza kwa matendo na usipoelewa ukajifanya kichwa ngumu basi atageuka kuwa adui yako!. mwanamke ni attention seeker! na ukishagundua hilo balance mambo usiwe rahisi sana na usiwe mgumu sana!.. itategemea nawe unamuhitaji kwa kiasi gani. ila hata akikuomba namba si kila akikutafuta uwe active utaonekana garasha! utachokwa haraka mno.

wadada wanajua kutongoza nyie...😂
Ni kweli mambo yamebadilika, ingawa mizinga itakuwa palepale
 
Back
Top Bottom