Wakuu mniombee nafanyiwa upasuaji kesho

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, akulinde kabla na baada ya upasuaji wako na utanyanyuka tena ukiwa na nguvu kama kawaida 🙏
 
Tunaomba jina lako halisi ili tuliweke kwenye maombi 🙏
 
Unaumwa nn Leejay49
 
Pole sana Madam Mungu akusimamie upone, nitakukumbuka kwenye sala ya usiku.
 

Mola aibariki operation yako Boss lady Leejay49 .... Good luck
 
Wadau wa vocha wamepotelea wapi,? Huyu binti ndiye muasisi wa kutoa vocha, uzi wake wa vocha ulikimbia sana lakini kuja kutoa comment za faraja mmeshindwa!!!

Vincenzo Jr
Mbaga Jr na wengineo mnatia aibu
Dada unakosea sana kusema tunatia aibu, ilipaswa ututag tuu inatosha mana mm ndo nmeona huu uzi muda huu ht ulivyonitag sikuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…