Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, akulinde kabla na baada ya upasuaji wako na utanyanyuka tena ukiwa na nguvu kama kawaida 🙏Habari za jioni wakuu,.
Nimeogopa isije nikashindwa kurudi tena baada ya mda,.
Mungu akipenda kesho nitakua nikifanyiwa upasuaji wa Jicho pamoja na sikio,. Mniombee nirudi nikiwa salama kama mwanzo,..
Sikua napenda kufanya hivi ila ndio last option niliyobakiwa nayo Baada ya kujaribu na kubadilishiwa dawa for almost miezi miwili,. Madaktari wamesugget nifanye hiyo
Mniombee sio tu nitoke salama,. Pia niweze kupona nisike na kuona kama mwanzo🙏🙏🙏
Tunaomba jina lako halisi ili tuliweke kwenye maombi 🙏Habari za jioni wakuu,.
Nimeogopa isije nikashindwa kurudi tena baada ya mda,.
Mungu akipenda kesho nitakua nikifanyiwa upasuaji wa Jicho pamoja na sikio,. Mniombee nirudi nikiwa salama kama mwanzo,..
Sikua napenda kufanya hivi ila ndio last option niliyobakiwa nayo Baada ya kujaribu na kubadilishiwa dawa for almost miezi miwili,. Madaktari wamesugget nifanye hiyo
Mniombee sio tu nitoke salama,. Pia niweze kupona nisike na kuona kama mwanzo🙏🙏🙏
Unaumwa nn Leejay49Habari za jioni wakuu,.

Kaone kazi kukumbushia vocha tuAisee pole kumbe ni serious kiasi hiki!!! Mungu atakusaidia utatoka salama na kwa mafanikio, na vocha ukatoa katika hali yako hii hii dah kuna watu mmepewa roho kubwa sana,
Pole sana Madam Mungu akusimamie upone, nitakukumbuka kwenye sala ya usiku.Amen 🙏 🙏🙏,.
Naomba niwajibu tu wote kwa pamoja maana nikisema zote mojamoja nitakesha,.
Niliweka uzi humu kua nimeumwa sana Malaria and for almost miezi inaenda minne sasa tangu dawa na sindano za malaria ziniaffect masikio pamoja na uono hafifu,.
Tulipambana sana walau jicho moja liko vizuri kabisa lakini moja ndio halioni pamoja na masikio hayasikii kabisa,.
Nimefanya vipimo vyote,. Baadhi ya mishipa ya fahamu ya macho na masikio imezibwa na ukungu,.. Inabidi izibuliwe
Kwa waliouliza Hospitali ni Hospitali ya private
Habari za jioni wakuu,.
Nimeogopa isije nikashindwa kurudi tena baada ya mda,.
Mungu akipenda kesho nitakua nikifanyiwa upasuaji wa Jicho pamoja na sikio,. Mniombee nirudi nikiwa salama kama mwanzo,..
Sikua napenda kufanya hivi ila ndio last option niliyobakiwa nayo Baada ya kujaribu na kubadilishiwa dawa for almost miezi miwili,. Madaktari wamesugget nifanye hiyo
Mniombee sio tu nitoke salama,. Pia niweze kupona nisike na kuona kama mwanzo🙏🙏🙏
Dada unakosea sana kusema tunatia aibu, ilipaswa ututag tuu inatosha mana mm ndo nmeona huu uzi muda huu ht ulivyonitag sikuonaWadau wa vocha wamepotelea wapi,? Huyu binti ndiye muasisi wa kutoa vocha, uzi wake wa vocha ulikimbia sana lakini kuja kutoa comment za faraja mmeshindwa!!!
Vincenzo Jr
Mbaga Jr na wengineo mnatia aibu
ndio walimwengu hao wazee wa kosa mojaDada unakosea sana kusema tunatia aibu, ilipaswa ututag tuu inatosha.
Dah kanisikitisha sana aise, haikuwa na maana yoyote kuandika hvy alivyoandikandio walimwengu hao wazee wa kosa moja
usilibebe moyon acha lipite siku yako isiharibike nduguDah kanisikitisha sana aise, haikuwa na maana yoyote kuandika hvy alivyoandika