Ok, fanya hesabu hii, Tafuta idadi ya watu wote wanaocheza bitcoin, then tafuta walionufaika, then nipe percent yake af ilete hapa, unishawishi nifanye.Uwekezaji wwt unahitaji umakini boss. Huyo jamaa yetu aliepoteza Kuna wezake pia wamenufaika mpaka leo
Mkuu Mr IQ sipo hapa kwa ajili ya kumshawishi mtu ila tunapeana elim tu. Siwezi kukushawishi kitu ambacho hata Mimi sijawahi kukifanya.. ila ukweli ni kwamba hiyo kitu ipo na watu wananufaika nacho. Tambua mafanikio ya mtu ni bahati na wala si juhudi tu zako binafsiOk, fanya hesabu hii, Tafuta idadi ya watu wote wanaocheza bitcoin, then tafuta walionufaika, then nipe percent yake af ilete hapa, unishawishi nifanye.
,pi unaweza kumine bila kukaribishwa.Sijaelewa vizuri ila kuna mtu nilitaka nimkaribishe P, yeye akawa amefungua account ambayo sio ya kukaribishwa hivyo akawa hawezi kuchimba wakampa option ya kununua p
Yes nilijipunja kweli.Sasa huoni mkuu ulijipunja,
Huwezi nunua salafu kama bitcon inadhaman kubwa namna hiyo. Crypto zinatabia za kupanda ghafla then kushuka ghafla halafu zikang'ang'ania late hiyo hiyo kwa muda kadhaa. Mfano btcn miezi mitatu nyuma ilikuwa Ina soma laki na elfu 2 na kwa sasa inasoma 90 elfu, ss kama ulinunua miezi iliyopita wkt imechanfanya tukiamini itapaa zaidi lazima uliwe kichwa mapema. Wanaonufaika ni wale walioanza nayo mapema wkt bado thamani yake ni ndogoKuna jamaa nilikuta kwenye biashara yake kaweka bango "tunapokea malipo kwa Bitcoin", halafu muda mwingi kuna watu wamekusanyika anawasaidia kununua na kuuza, nikawaza huyu mtu atalia sio muda.
Nilipopita baada yaa miezi miwili bango halipo na ukimuuliza kuhusu bitcoin, asipokutwanga ngumi basi tegemea tusi zito
DuhAccount yako naona ni changa Mkuu kwa kipindi hiki ww ni kama Mimi tu hatuambulii kitu
Kwa sababuna uwepo wa mamia ya sarafu hakuna hata moja yenye thamani ya robo yake na pia bitcoin ni kama iko kwenye league ya peke yake.Kwann huamini kuwa ipo sarafu ambayo inaweza kuichalenji btcn kwa ss
Halafu hiyo ETH mwaka 2020 ilikuwa inasoma $4000 nashangaa imepolomoka namna hiyoKwa sababuna uwepo wa mamia ya sarafu hakuna hata moja yenye thamani ya robo yake na pia bitcoin ni kama iko kwenye league ya peke yake.
We fikiria bitcoin leo ilikuwa karibu $96000 halafu inayoifuata kwa thamani ni ethereum ambayo ni kama $2700. Yani hata robo yake haifiki
1 per pi sawa sh ngap ya kibongoYes nilijipunja kweli.
But still ninazo nyingi tu .
Hata thamani yake ikiwa 1 per pi nitapata hela nzuri tu.
Hata bitcoin ilishawahi poromoka kutoka $20000+ nadhani ikafika $14000 ni kawaida kupanda na kushuka.Halafu hiyo ETH mwaka 2020 ilikuwa inasoma $4000 nashangaa imepolomoka namna hiyo
Mkuu ulianza chimba lini?Yes nilijipunja kweli.
But still ninazo nyingi tu .
Hata thamani yake ikiwa 1 per pi nitapata hela nzuri tu.
muda bado upo nao mkuu. cha msingi ni wewe kujua kwamba ad sasa hayupo aliye wahi benefit ktk hyo Pi net.Hata nikichimbua boss Sina Cha kuambulia Tena muda umeshanitupa
Wana JF ukiwaletea fursa basi wanataka uwaambie ni wapi umepata soko zuri la kuuza viazi au vitunguu ni mbegu gani nzuri za matiki tiki maji ndio watakuamini na kukutilia maanani..Jf ni miyeyusho sana ukileta mada tofauti na mbususu lzm ukutane na upinzani mkubwa sn
Na hicho ndio kinachonifanya mpaka Leo nimekuwa mpenzi mtazamaji. Mwaka 2021 niliwahi kuchoma laki 9 kwenye meme ya Shiba Inu nikinunua coins nyingi sana nakumbuka late yake ilikuwa $0.0004. na ilikuwa inachukuliwa kama meme ambayo itakuja kuishangaza Dunia. Nikajiripua long hold... Chungulia ss hivi mambo ilivyo Ngoma inasoma 0.000015Hata bitcoin ilishawahi poromoka kutoka $20000+ nadhani ikafika $14000 ni kawaida kupanda na kushuka.
Please alikuwa Ana trade au?Kunajamaa yangu alianza mambo ya bitcoin since 2015, hadi saivi pesa aliyo ipoteza angekua ana nyumba , gari na biashara kubwa tu.. Lkn hana ishu saiv, analialia tu hela ngumu.
Ushauri: Wekeza kwenye kitu unacho kiona, otherwise utajikuta 2040 huna kitu
bado umeziihold? Inabidi kuwa makini kwenye crypto kuna watu wanazipandisha kisha wanazidump wanachukua mamilioni yao. Navyomwona elon musk nadhani ni michezo yake.Na hicho ndio kinachonifanya mpaka Leo nimekuwa mpenzi mtazamaji. Mwaka 2021 niliwahi kuchoma laki 9 kwenye meme ya Shiba Inu nikinunua coins nyingi sana nakumbuka late yake ilikuwa $0.0004. na ilikuwa inachukuliwa kama meme ambayo itakuja kuishangaza Dunia. Nikajiripua long hold... Chungulia ss hivi mambo ilivyo Ngoma inasoma 0.000015
Na je hiyo KYC verification kwanini wanachelewesha namna hiyomuda bado upo nao mkuu. cha msingi ni wewe kujua kwamba ad sasa hayupo aliye wahi benefit ktk hyo Pi net.
wanachofanya ni mining tu kuongeza account but kwa badae ndo hizo Pi zitakuja mfaa mtu, pengine ni baada ya kuanza kuwa traded. so hujachelewa na hakuna malipo wala investment yenye utafanya interms of money. so it's almost risk free....unaogopa nini?
Ni kweli Maana kutrade Haina tofauti na kamari ya kubetPlease alikuwa Ana trade au?
Kama Ali hold basi amekudanganya maana watu walio hold tangu mwaka huo sasa hivi hawashikiki kabisa na mifano ninayo... ila kama alikuwa anatrade basi huyo lazima ile kwake.