Alpha Blondy
JF-Expert Member
- Oct 6, 2018
- 304
- 440
Niiaribu sim yangu ilidondoka ikafa kabisa, si kioo ilikufa sim, nikaloteza Pi kama 220 hivi, nimeangaika sana kuirudisha account ila iligoma, nilikua sijui kama huu mchongo utakuja kua kweli, na paka sasa sijui kama hu mchongo ni wa kweli, nisubiri wawe ma trilioonea Rohoo iniume vizuri kwa Sim yangu kuaribika, nilikata tamaa ya kuanza upya, maana izo zilizopotea nili mine kama mwaka na nusu.Ndiomaana nimeleta bandiko hum ila bahati mbaya naona wote hum ni weupe kichwani kama mm
Dah Kuna mwanetu hapa a/c yake ilikuwa na Ο 158, ukikuta yupo anakokotoa thamani yake yanakuja matrilioni mpaka calculator inastak!. Nikamwambia hiyo ni ndoto hewan akawa mbishi. Leo hii Ο 1 ni sawa na dollah Moja na inaendelea ku dropHatimaye yamekuwa sema bei yake haikuwa kama pioneers walivyokuwa wanatabiri.
Ila hii kitu imekaa kama pyramid scheme ina hype nyingi za pyramid scheme na ndiyo maana china wana utata nayo.
Wazee wana mbwembwe hadi jana walishare picha eti byd wameuza gari 100 kwa kila gari kulipiwa pi coin moja
Hamna kitu mkuu wenye faida ni wale wenye Pai kuanzia 100kNiiaribu sim yangu ilidondoka ikafa kabisa, si kioo ilikufa sim, nikaloteza Pi kama 220 hivi, nimeangaika sana kuirudisha account ila iligoma, nilikua sijui kama huu mchongo utakuja kua kweli, na paka sasa sijui kama hu mchongo ni wa kweli, nisubiri wawe ma trilioonea Rohoo iniume vizuri kwa Sim yangu kuaribika, nilikata tamaa ya kuanza upya, maana izo zilizopotea nili mine kama mwaka na nusu.
Mimi ninazo 49 ila nlisema humu kuwa najuta kwa nini sikuanza kumine mapema ila nikasema sidhan kama thamani yake itakuwa zaidi ya $3 na inaweza kuwa below $1.Dah Kuna mwanetu hapa a/c yake ilikuwa na Ο 158, ukikuta yupo anakokotoa thamani yake yanakuja matrilioni mpaka calculator inastak!. Nikamwambia hiyo ni ndoto hewan akawa mbishi. Leo hii Ο 1 ni sawa na dollah Moja na inaendelea ku drop
Watu wanauza sana ndiomaana inashuka sana. Sasa hivi inasoma $0.6 kutoka 1.7 $ mchanaMimi ninazo 49 ila nlisema humu kuwa najuta kwa nini sikuanza kumine mapema ila nikasema sidhan kama thamani yake itakuwa zaidi ya $3 na inaweza kuwa below $1.
Si mwanao tu watu huko mtandaoni hadi sasa hivi bado wanapeana moyo.
Wewe ni muongo Bitcoin haijawahi kua chini ya $1 since 2012 ,wewe unasema 2017πππupo seriosi kweli.Ilianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija.
Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake ilikuwa 0.007 kwa coin kwa sasa ipo 500+ usd
KWa sasa naona watu wanatamba na hii #pai, na ni kitu imekuwepo tangu 2019 watu wachimba kimya kimya... Ss nasikia mwisho wa uchimbaji ni mwezi huu wenye wallet zao zilizonona tayari wanaenda kuwa matrilionea.
ANaeijua kiundani hii kitu aongeze nyama tafadhali
View attachment 3226762
Mimi nadhani walioitengeneza ndio hao hao wanafanya dumping maana wao wanahold 20% ya pi coins zoteWatu wanauza sana ndiomaana inashuka sana. Sasa hivi inasoma $0.6 kutoka 1.7 $ mchana
Pi coin na lbl ni vitu viwili tofauti. Lbl watu waliweka pesa pi coin hakuna aliyeweka hata tshs 10Msiba wa taifa ukihamia kwa hyo Pi tualikane kula ubwabwa maana naona lbl tyr taratb harufu ya msiba inakuja
Mungu akubariki. Huo ndo ukweliNinaamini pesa inakuja kwa kufanya kazi kwa bidii na nidhamu tu.
Hakuna miujiza kwenye mafanikio zaidi ya bidii na nidhamu.
Kwahy hujawekeza chochote na unategemea wao ndo wakupe helaππππ ama kweli ule wimbo wa kekundu wa aict makongoro unapata mashikoPi coin na lbl ni vitu viwili tofauti. Lbl watu waliweka pesa pi coin hakuna aliyeweka hata tshs 10
Narudia tena kukwambia kuna tofauti kubwa kati cryptos na ponze scheme. Japo siku hizi watu wanachukua udhaifu wa watu kutoelewa vitu wanautuma kuwatapeli wakihusisha vitu na cryptos, forex, amazon order processing.Kwahy hujawekeza chochote na unategemea wao ndo wakupe helaππππ ama kweli ule wimbo wa kekundu wa aict makongoro unapata mashiko
HONESTLY, HAKUNA UTAPELI WOWOTE kwa sababu hata Developers wenyewe wapo open sana kulinganisha na developers wengi wa crypto! Vilevile kumbuka kwamba, kwa sasa zaidi ya 95% ya waliokuwa na hii coin sio kwamba wananunua, hapana; hawajalipa hata senti 5 bali wanaipata kwa njia inaitwa mining. Sasa watu wakisikia hii coin inapatikana free through mining ndo wanaona ni kama kitu kisichowezekana kumbe hata Bitcoin unaweza kuzipata kupitia mining. Tofauti ya mining ya Bitcoin inahitaji sophisticated PC Hardware na inabugia sana umeme wakati Pi unatumia tu simu with no hustle at all.nafikiri chimbua hadi leseni zao itakupa uhakika zaidi
Hawa jamaa nadhan hawakuwa na lemgo la kuanzia coin walikuwaga na lengo la kupata viewers wa matangazo wapge pesa. Imagine kila sku wanaoata views milion kumi na zaidi walikuwa wakitengeneza pesa ngapi.Huu mradi ni utapeli, huwezi subiria kwa zaidi ya miaka mitano then iwe hv
Hahaa umenikumbusha juzijuzi tu hapa nilipiga survey kigezo ufikishe dollar 400 ndiyo withdraw imefika hizo dollar naambiwa Hadi nishare kwa watu 50Hakuna pesa ya ku download
Mbona mmekuwa mazwazwa
Kwenye crypto kuna kitu kinaitwa utility; hiyo ndo strategies inayokuwa emphasized na developer wa Pi Coin. Kwa mfano, kupitia mining ambayo ni free, leo hii kuna Members zaidi ya 20M. Hapo hapo Developers wana-strategies kwenye utility itumike as a medium of exchange. So, the idea behind ni kwamba, out of 20M Members, wakitokea hata Members 500K ambao bidhaa zao wanauza kwa kutumia Pi Coin, it means kutakuwa na matumizi makubwa ya Pi Coin from other members as a medium of exchange. Hilo likifanikiwa, ina maana kutakuwa na demand ya Pi Coins kutoka hata kwa wale ambao hawakuipata for free. Hii demand for the coin itaongeza thamani yake; na hiyo ndo utility yenyewe! Sasa community kubwa ya Pi Coin Holders ndo Mtaji wenyewe!Kwahy hujawekeza chochote na unategemea wao ndo wakupe helaππππ ama kweli ule wimbo wa kekundu wa aict makongoro unapata mashiko
Kama unazungumzia hii Pi Coin basi hao ni MATAPELI kwa sababu kwenye Pi Coin hakuna kitu kama hicho lakini kuna matapeli kibao mitandaoni wanaofanya scams kupitia pi coinsHahaa umenikumbusha juzijuzi tu hapa nilipiga survey kigezo ufikishe dollar 400 ndiyo withdraw imefika hizo dollar naambiwa Hadi nishare kwa watu 50
Kweli hakuna hela ya kudawnload.
Hayo matangazo yameanza kuwekwa lini?! Hivi kati ya websites na apps zenye matangazo unaweza Pi Coin website/app na zenyewe unaweza kuzihesabu?!Hawa jamaa nadhan hawakuwa na lemgo la kuanzia coin walikuwaga na lengo la kupata viewers wa matangazo wapge pesa. Imagine kila sku wanaoata views milion kumi na zaidi walikuwa wakitengeneza pesa ngapi.
Baadaye wakaona watu wamekuwa wengi ndipo wakaamua tengeneza na coin napo wafanye dumping wapige ela zaidi