Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hebu weka nyama wanapigwaje pale sababu watu wamechimba coin ni mwaka wa tatu sasa,Aiseee vijana wanapiga sana pesa na kuwa mabilionea .
Ukiweza kutengeneza mifumo na kuibrand worldwide ushakuwa bilionea.
Ni fursa halafu umewekewa deadline siku chache tu mbele ili uchangamkie kupigwa .
Amkeni.
Andaaeni vitu vyenu nanyi mupige pesa globally
😅😂🤣Najua unauelewa wa hiyo kitu ila unatutisha vijana tusinufaike
Mkuu si lazima uchangie kama kitu huna uelewa nacho, mim nimeweka bandiko nisaidiwa maswali ya member Ambae tayri Yuko humo. Ss ww shizo negativity za Nini? Kama nikitapeliwa si ni pesa yangu ww inakuuma niniDunia hii kuna wajinga wengi sana. Lakini huyu ni mjinga zaidi ya ujinga wenyewe,nilitegemea humu jf wote ni great thinker,wanafikri kabla ya kufanya maamuzi,lakini hapana jf imeingiliwa,wanaleta stori zao za utapeli huko fb,tuwashauri,na tukiwashauri wanatuona mafala,basi hawa ni jamii ya watu aina ya kasongo yeeye
Hao waliochimba kwa miaka 3 mnaishi nyumba moja?Hebu weka nyama wanapigwaje pale sababu watu wamechimba coin ni mwaka wa tatu sasa,
Hayo mambo yapo sema tu penya ufinyu wa taarifa na matapeli wanaibukia hapo hapo.Nilikuona mjanja kumbe unatapelika kirahisi.
jf is a platform where we dare to talk openly! And jf is the home of the great thinkes so be humble my dear!Mkuu si lazima uchangie kama kitu huna uelewa nacho, mim nimeweka bandiko nisaidiwa maswali ya member Ambae tayri Yuko humo. Ss ww shizo negativity za Nini? Kama nikitapeliwa si ni pesa yangu ww inakuuma nini
Hii hapa mkuuVerification status hapo inatick ngap kwenye account yakoView attachment 3226784View attachment 3226790
Mkuu nimeleta bandiko ili nipate uelewa zaidi nikiamini eidha hum Kuna ambao tayari wapo huko Pai. Ila ss nakutana na shutuma za utapeli na matusi juujf is a platform where we dare to talk openly! And jf is the home of the great thinkes so be humble my dear!