Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

Aiseee vijana wanapiga sana pesa na kuwa mabilionea .
Ukiweza kutengeneza mifumo na kuibrand worldwide ushakuwa bilionea.
Ni fursa halafu umewekewa deadline siku chache tu mbele ili uchangamkie kupigwa .
Amkeni.
Andaaeni vitu vyenu nanyi mupige pesa globally
 
Hebu weka nyama wanapigwaje pale sababu watu wamechimba coin ni mwaka wa tatu sasa,
 
Dunia hii kuna wajinga wengi sana. Lakini huyu ni mjinga zaidi ya ujinga wenyewe,nilitegemea humu jf wote ni great thinker,wanafikri kabla ya kufanya maamuzi,lakini hapana jf imeingiliwa,wanaleta stori zao za utapeli huko fb,tuwashauri,na tukiwashauri wanatuona mafala,basi hawa ni jamii ya watu aina ya kasongo yeeye
 
Mkuu si lazima uchangie kama kitu huna uelewa nacho, mim nimeweka bandiko nisaidiwa maswali ya member Ambae tayri Yuko humo. Ss ww shizo negativity za Nini? Kama nikitapeliwa si ni pesa yangu ww inakuuma nini
 
Hebu weka nyama wanapigwaje pale sababu watu wamechimba coin ni mwaka wa tatu sasa,
Hao waliochimba kwa miaka 3 mnaishi nyumba moja?
Hii ni sawa na shuhuda za kwa Mwamposa, shuhuda motomoto kila jumapili lakini hao watoa shuhuda hatujui waishipo
 
Mkuu si lazima uchangie kama kitu huna uelewa nacho, mim nimeweka bandiko nisaidiwa maswali ya member Ambae tayri Yuko humo. Ss ww shizo negativity za Nini? Kama nikitapeliwa si ni pesa yangu ww inakuuma nini
jf is a platform where we dare to talk openly! And jf is the home of the great thinkes so be humble my dear!
 
Verification status hapo inatick ngap kwenye account yakoView attachment 3226784View attachment 3226790
Hii hapa mkuu
IMG_20250206_132834.jpg
 
DJ walete walete wapigwe maana hawasikii.

Ukiona unaitiwa kwenye fursa basi jua wewe ndiyo fursa...Nature ya binaadamu ni ubinafsi ingekuwa ni deal angepiga yeye mwenyewe asingekustua.
 
jf is a platform where we dare to talk openly! And jf is the home of the great thinkes so be humble my dear!
Mkuu nimeleta bandiko ili nipate uelewa zaidi nikiamini eidha hum Kuna ambao tayari wapo huko Pai. Ila ss nakutana na shutuma za utapeli na matusi juu
 
Back
Top Bottom