Tulioanza kuchimba nyuma kidogo ni bure ila watu wapya wanaweza kupata sarafu ya Pai kwa kuinunua si chini ya elfu 30 kila moja.kama huko kuchimba hakuna gharama zozote sio mbaya ukijaribu
Kyc naikamilishaje sasa maana nasikia hadi kitambulisho kinahitajikaHalafu kamilisha usajiri wako zinatakiwa tick 5 hapo zikamilike tofauti na hapo unamaliza bando lako bure, wanadai mwisho kukamilisha KYC ni trh 28 mwezi huu. Ukichelewa hutaweza kunitumia hizo coins
Hata Mimi nasubiri hiyo trh 28 nasikia ndio watairuhusu kwenye list ya crypto currency. Hivyo wenye wallet za Pai wanaweza kuuza, kununua, na kutoa pesa zao kutoka kwenye wallet zao. Kwa ss PAI Moja inathamani ya usd laki 3+ kwa mujibu wa Pai network wenyewe ila ukiwauliza AI wao wanadai bado thamani yake sokoni haijapangwa kwahiyo hata Mimi inanichanganya ndiomaana nikaleta bandiko kama Kuna mtu yupo huko atumegee
Hata kadi ya mpga kura kama unayo unaipga picha mbele na nyuma unupload taarifa zako sahihi yani zisiende kinyume na account yako ya Pai hapo tayari utakuwa unaelekea ubilionea. Fanya chap mkuuKyc naikamilishaje sasa maana nasikia hadi kitambulisho kinahitajika
Sawa ila sio kwa PI ,Mapimbi wanaosema kua watu watapigwa, mnajidhihirisha ni kiasi gani mpo nyuma ya dunia na Sarafu za kimtandao(SARAFU MFU).
Raisi mwenyewe anatamani nchi iwe na Sarafu yake ya kidijitali, pimbi wa humu ndani hajui hata ni kitu gani, mbaya zaidi kaweka pamba sikio haelewiii.
Nina namba ya nida tu labda nifuatilie kitambulisho chake... Nilikuwa na leseni ya udereva ikapotea nikapuuza sikuenda kuripotiHata kadi ya mpga kura kama unayo unaipga picha mbele na nyuma unupload taarifa zako sahihi yani zisiende kinyume na account yako ya Pai hapo tayari utakuwa unaelekea ubilionea. Fanya chap mkuu
Acheni kujidanganya hiyo tarehe 28 itapita na hakuna kitakachotokeaHata Mimi nasubiri hiyo trh 28 nasikia ndio watairuhusu kwenye list ya crypto currency. Hivyo wenye wallet za Pai wanaweza kuuza, kununua, na kutoa pesa zao kutoka kwenye wallet zao. Kwa ss PAI Moja inathamani ya usd laki 3+ kwa mujibu wa Pai network wenyewe ila ukiwauliza AI wao wanadai bado thamani yake sokoni haijapangwa kwahiyo hata Mimi inanichanganya ndiomaana nikaleta bandiko kama Kuna mtu yupo huko atumegee
kwan bitcoin ilianza vp kabla ya kuwa na thamani?Sawa ila sio kwa PI ,
Hivi kitambulisho cha nida naweza kukipataje?Muda umeisha ss boss hutaweza ss kukimbizana hiyo trh 28 ikukute umemaliza?
Kampuni haina ofisi wala Tin number ushaibiwa hapoIlianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija.
Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake ilikuwa 0.007 kwa coin kwa sasa ipo 500+ usd
KWa sasa naona watu wanatamba na hii #pai, na ni kitu imekuwepo tangu 2019 watu wachimba kimya kimya... Ss nasikia mwisho wa uchimbaji ni mwezi huu wenye wallet zao zilizonona tayari wanaenda kuwa matrilionea.
ANaeijua kiundani hii kitu aongeze nyama tafadhali
View attachment 3226762
2020 pale ofisi za mkuu wa mkoa arushaUnaenda kwenye kata/kituo ulipojiandikisha. Umejiandikisha mwaka gan?