PoaNenda hapo hapo ukaulizie
hujijuiMkuu nitake radhi Mimi si masikini wala si mgonjwa wa akili
Wanadownload pesa unaambiwa, wanakueleza pesa zinawafuata wao yaani pesa zinawapenda hadi zinawafuata majumbaniNinaamini pesa inakuja kwa kufanya kazi kwa bidii na nidhamu tu.
Hakuna miujiza kwenye mafanikio zaidi ya bidii na nidhamu.
Comment yako naihifadhi. Dunia imebadilika shtukaNilikuona mjanja kumbe unatapelika kirahisi.
SijakuelewaComment yako naihifadhi. Dunia imebadilika shtuka
Si kwa vile unaona ni utapeli? Kuna watu nimeshuhudia wakinunua vitu kwa hii pesa hapahap TanzaniaSijakuelewa
efu moja 700Hapo una Pai ngap boss
Hapa Arusha kuna sehemu jamaangu kuniambia ukinunua kitu unalipa nusu alafu nusu yake unalipa kwa paiZanzibar hiyo kitu nimeona
Wao watafaidika coin ikiingia sokoni na kutakuwa kuna watu wamewekeza kwenye huo mradi ikiwemo serikali ya MarekaniMkuu hata Mimi inanishangaza hii inakuwaje uchimbe bure halafu mwisho wa siku uvune pesa? Wao wanafaidikaje?
Hebu ondoa upumbavu huo....Ilianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija.
Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake ilikuwa 0.007 kwa coin kwa sasa ipo 500+ usd
KWa sasa naona watu wanatamba na hii #pai, na ni kitu imekuwepo tangu 2019 watu wachimba kimya kimya... Ss nasikia mwisho wa uchimbaji ni mwezi huu wenye wallet zao zilizonona tayari wanaenda kuwa matrilionea.
ANaeijua kiundani hii kitu aongeze nyama tafadhali
View attachment 3226762
nilikuwa mtu wa mwanzo kabisa kufanya KYCUmefanya verification KYC