Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

IMG_0757.jpeg
 
Mradi wa USAID huu sasa sijui wanakusanya taarifa zetu kwa natumizi yao kama tiktok maana mradi haufiki mwisho
 
Ninaamini pesa inakuja kwa kufanya kazi kwa bidii na nidhamu tu.
Hakuna miujiza kwenye mafanikio zaidi ya bidii na nidhamu.
Wanadownload pesa unaambiwa, wanakueleza pesa zinawafuata wao yaani pesa zinawapenda hadi zinawafuata majumbani
 
Nawaombeni maelekezo jinsi ya kuingia na mimi ninuse harufu nzuri ya pesa.
 
Kwa sasa haiwezekan maana milolongo ni mirefu kwanza KYC kuipata Sharti uwe umechimba walau kwa siku 30. Na mwisho wa msim wa wachimbaji ni trh 28
Nawaombeni maelekezo jinsi ya kuingia na mimi ninuse harufu nzuri ya pesa.
 
Mkuu hata Mimi inanishangaza hii inakuwaje uchimbe bure halafu mwisho wa siku uvune pesa? Wao wanafaidikaje?
Wao watafaidika coin ikiingia sokoni na kutakuwa kuna watu wamewekeza kwenye huo mradi ikiwemo serikali ya Marekani
 
Ilianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija.

Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake ilikuwa 0.007 kwa coin kwa sasa ipo 500+ usd

KWa sasa naona watu wanatamba na hii #pai, na ni kitu imekuwepo tangu 2019 watu wachimba kimya kimya... Ss nasikia mwisho wa uchimbaji ni mwezi huu wenye wallet zao zilizonona tayari wanaenda kuwa matrilionea.

ANaeijua kiundani hii kitu aongeze nyama tafadhali

View attachment 3226762
Hebu ondoa upumbavu huo....

Na kwataarifa yako.. humpati mtu humu...
 
Back
Top Bottom