Ndio nafuatilia kitambulisho. Hivi cha mpiga kura hamna sehemu sahihi naweza kwenda nikapata?Fanya KYC
Bora kitu usichokijua kuuliza mkuu.Hamna kaka. Mweupe wewe si wengi wetu tuko vizuri sana na pi. Wewe weka tu, mbona unyama ,weka akiba yako walau nusu na robo siku ya kuvuna tunakua matrilionea. Weka tu mzee. Tuko nawe kiulalo ulalo
Karibu mkuuMkuu naomba nije pm tafadhal
Zimemigrate ngapi kwenda kwenye Wallet Mkuu??
APP inaitwaje mkuu..?nimeshadownload na mie nianze kuzivuna
Shida ya Jf watu ni conservativeYani mnatakiwa kujua sio kila kitu utaopeli wazee.
Mbona koin nyingi sana zinakuwa launched watu wanapiga hela sana.
Kuuliza ni kitu kizuri kuliko kuanza kuattack na kusema utapeli.
N hakun sehem yoyote unayofakiwa kuweka hela,airdrop nyingi sana zinatoa hela vizuri sana.
Nimepata somo mkuu ndiomaana Ninyi miaka yote mnajua na mnafanya ila mlipga kmya. Hii si sehem salama ya Kuja kuulizia jambo hasa la msingi ukitegemea utapata mwanga na kijifunza jamboYani mnatakiwa kujua sio kila kitu utaopeli wazee.
Mbona koin nyingi sana zinakuwa launched watu wanapiga hela sana.
Kuuliza ni kitu kizuri kuliko kuanza kuattack na kusema utapeli.
N hakun sehem yoyote unayofakiwa kuweka hela,airdrop nyingi sana zinatoa hela vizuri sana.
Huyo ananunua wapi??pi bado haijaingia sokoni.Kipindi cha bure naona kimeisha sababu kuna rafikiang nilitaka awe anachimba ila alipofungua account ya P akawa hawezi kuchimba kama sisi bali walimtaka anunue elfu 30 kila Pai moja.
Nilijiuliza kama Pai 1 inauzwa kwa Tsh 30,000 vipi ikija kushuka au kupanda?
Mimi sijanunua naendelea kuchimba hizi za bure sababu account yangu nilifungua kipindi ikiwa bure
Wajuaji wengi sana.Shida ya Jf watu ni conservative
Nimekula hela ya Ice nangojea na hii
Yani watu wajuaji sana humu.Nimepata somo mkuu ndiomaana Ninyi miaka yote mnajua na mnafanya ila mlipga kmya. Hii si sehem salama ya Kuja kuulizia jambo hasa la msingi ukitegemea utapata mwanga na kijifunza jambo
Cc zwazwa KENZYHakuna pesa ya ku download
Mbona mmekuwa mazwazwa
Tulia weweeejf is a platform where we dare to talk openly! And jf is the home of the great thinkes so be humble my dear!
Tulia weweee ni amriendelea "kuliwa" manake nimekupa ushauri unaona ni batili. Ukiona unaletewa fursa ujue wewe ni fursa yenyewe. Maadaui wakuu tanzania ni ujinga umaskin na maradhi. 1. Ujinga~umekosa elimu mpaka unajiingiza ktk deal za mitandaoni
2.maradhi~maradhi ya akili ndiyo chanzo cha kufanya hivyo,milembe inakuhusu
3.umasikini~ ukosefu wa pesa ndiyo unakufanya uingie tamaa ya kupiga pesa kiurahisi. SHTUKA mkuu.
Ona kikazi ingine hii...Online zipo pesa nyingi tu wenye akili hawahitaji hio bidii na nidhamu bali Wana risk na wanatoboa wakiwa wamelala kitandani