Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

Hamna kaka. Mweupe wewe si wengi wetu tuko vizuri sana na pi. Wewe weka tu, mbona unyama ,weka akiba yako walau nusu na robo siku ya kuvuna tunakua matrilionea. Weka tu mzee. Tuko nawe kiulalo ulalo
Bora kitu usichokijua kuuliza mkuu.
Sio kila kitu ni utapeli.
 
Yani mnatakiwa kujua sio kila kitu utaopeli wazee.

Mbona koin nyingi sana zinakuwa launched watu wanapiga hela sana.

Kuuliza ni kitu kizuri kuliko kuanza kuattack na kusema utapeli.

N hakun sehem yoyote unayofakiwa kuweka hela,airdrop nyingi sana zinatoa hela vizuri sana.
 
nimeshadownload na mie nianze kuzivuna
 
Shida ya Jf watu ni conservative

Nimekula hela ya Ice nangojea na hii
 
Yani mnatakiwa kujua sio kila kitu utaopeli wazee.

Mbona koin nyingi sana zinakuwa launched watu wanapiga hela sana.

Kuuliza ni kitu kizuri kuliko kuanza kuattack na kusema utapeli.

N hakun sehem yoyote unayofakiwa kuweka hela,airdrop nyingi sana zinatoa hela vizuri sana.
Nimepata somo mkuu ndiomaana Ninyi miaka yote mnajua na mnafanya ila mlipga kmya. Hii si sehem salama ya Kuja kuulizia jambo hasa la msingi ukitegemea utapata mwanga na kijifunza jambo
 
Kipindi cha bure naona kimeisha sababu kuna rafikiang nilitaka awe anachimba ila alipofungua account ya P akawa hawezi kuchimba kama sisi bali walimtaka anunue elfu 30 kila Pai moja.
Nilijiuliza kama Pai 1 inauzwa kwa Tsh 30,000 vipi ikija kushuka au kupanda?
Mimi sijanunua naendelea kuchimba hizi za bure sababu account yangu nilifungua kipindi ikiwa bure
Huyo ananunua wapi??pi bado haijaingia sokoni.

So kama ni kununua au kuuza ni kutoka kwa mtu unaemfaham au kumjua tu.
 
nimeshadownload na mie nianze kuzivuna
Ww ni msindikizaji tu kama mm mkuu, Mimi nimeiunga jana ...Zero π
Screenshot_20250206-174640.jpg
 
Nimepata somo mkuu ndiomaana Ninyi miaka yote mnajua na mnafanya ila mlipga kmya. Hii si sehem salama ya Kuja kuulizia jambo hasa la msingi ukitegemea utapata mwanga na kijifunza jambo
Yani watu wajuaji sana humu.

Hizo pi mimi mpaka sasa zangu zilimigrate,nimeziuza zote nikapiga mpunga.

Now nasubiri hizi zimigrate tule hela.
 
Yani watu wajuaji sana humu.

Hizo pi mimi mpaka sasa zangu zilimigrate,nimeziuza zote nikapiga mpunga.

Now nasubiri hizi zimigrate tule hela.
Uliuzia wapi boss? Kwa mfumo wa P2p? Na uliza bei gan kwa Pai moja
 
endelea "kuliwa" manake nimekupa ushauri unaona ni batili. Ukiona unaletewa fursa ujue wewe ni fursa yenyewe. Maadaui wakuu tanzania ni ujinga umaskin na maradhi. 1. Ujinga~umekosa elimu mpaka unajiingiza ktk deal za mitandaoni
2.maradhi~maradhi ya akili ndiyo chanzo cha kufanya hivyo,milembe inakuhusu
3.umasikini~ ukosefu wa pesa ndiyo unakufanya uingie tamaa ya kupiga pesa kiurahisi. SHTUKA mkuu.
Tulia weweee ni amri
 
Online zipo pesa nyingi tu wenye akili hawahitaji hio bidii na nidhamu bali Wana risk na wanatoboa wakiwa wamelala kitandani
Ona kikazi ingine hii...
Hivi wewe unajua kwamba bidii ni lazima mtu akabebe nyundo eeehhhhh...🤔
Wapo hata wadukuaji wanafanya kazi zao wakiwa vyumbani mwao, lakini wanafanya kwa bidii with highly disciple...🤨
 
Back
Top Bottom