matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mbona karibu wote Huwa wanafyekwa kimyakimya na vijana wakizayuni. Naamini hata haya maandamano kuna mkono wa wazayuni Kwa msaada wa US kama rais wa Iran anavyolalamika.Iran Wana great scientist i.e kwny madawa, nuclear,Physics etc
Persians sio wepesi hata kidogo.
Mbona kuhusu maandamano Wala sio suala la kuamini, US imeshasema imeweka msukumo wake kwenye jambo Hilo lakini mwisho wa Siku hakuna kitu kitabadilika. Ayattolah Yuko pale pale.Mbona karibu wote Huwa wanafyekwa kimyakimya na vijana wakizayuni. Naamini hata haya maandamano kuna mkono wa wazayuni Kwa msaada wa US kama rais wa Iran anavyolalamika.
Braza umeandika maneno mengi sijaelewa chochoteUnapoyangalia mataifa haya mawili ya irani na israeli inabidi uyatambue kimuonekano wa ndani bila kusahau muonekano wa nje, kwakuwa wew unayangalia kimuonekano wa nje, kutokana na kila taifa kupiga kwake hatua kubwa za maendeleo kijeshi na kwenye masuala ya sayansi na teknolojia, jambo unalotakiwa ujue urusi haitengenezei irani drone bali iran inatumia wanasayansi wake wa ndani, kwakua wew na watu wengi mmebase kwenye msimamo wa kuwa haya mataifa ni maadui na nikweli israeli na irani ndio mataifa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi hapo mashariki ya kati.
Lakin hivyo ndio wakubwa wanataka nyie muamini hivyo kimuonekano wa nje kupitia migogoro yao kama israeli kuuwa wanasayansi wa nuclear wa irani na irani kusapoti makundi yenye uadui mkubwa na israeli kama hezbollah na hamasi bila kusahau wanavyotishiana kufutana kwenye ramani ya dunia, unachopaswa kujua matunduizi ni kuyatambua mataifa haya kimuonekano wa ndani na hapa ndio siri kubwa ilipo kati ya mataifa haya hivyo nimalizie kusema jitahidi kufanya research ya kutosha wew binafsi maana dunia ni zaidi ya tuijuavyo sie wanadamu.
Jitahidi usome kwa makini utanielewaBraza umeandika maneno mengi sijaelewa chochote
Sio kila kitu cha kushabikia, unajuwa athari za kila nchi kuwa na silaha hatari, Waafrika ni matomaso mpaka muone ndio mtaelewa.Sera ya marekani ya kisenge ya kutaka nchi nyingine zisimiliki silaha kali na za kisasa kishiney. Pumbavu zao
Waisrael wanapaswa kuuawa
Nikajua labda akili yangu imenoki na nakaribia kupelekwa Mirembe kumbe jamaa ndio mwezi nchanga. [emoji16][emoji16]Braza umeandika maneno mengi sijaelewa chochote
Mtaendelea kukurupuka na kuwa na akili za vijiko hivyo hivyo sababu ya kushindwa kusoma kwa makini kile nichoandika na nilijua watakaonielewa niwachache wenye upeo mkubwa.Nikajua labda akili yangu imenoki na nakaribia kupelekwa Mirembe kumbe jamaa ndio mwezi nchanga. [emoji16][emoji16]
Sasa hili nalo mpaka maandiko?Mzee maandiko yanasema ipo siku Israel watakuja kupoteana.
Yaani watapigwa wachakae sema bado sana
Sasa mbona vikombora vya Hamas na Hezbollah vinawasumbua vile ,watu wanakufa na majumba yanabomoka,Nitajibu swali lako la mwisho.
Israel ndio nchi pekee duniani ambayo ina air defence system 24/7 ziko active. Wale muda wowote unawashtukiza unafyatua kombora na wanalifanyia interception. Ni gharama kubwa za uendeshaji ila wanalazimika maana wana maadui na confrontation yao ni active.
Nchi nyingine kama Marekani na Urusi wao hawana adui kila dakika, mpaka ufikie hatua Urusi awaze Marekani atafyatua kombora hapo kuna mnyukano wa hali ya juu ushatokea na tension kwenye majeshi ishafikia level 3 kwenye readiness. Mfano sasa hivi, sio Russia wala Marekani anayewaza kwamba mwenzie atamrushia kombora usiku huu. Ila Israel muda wote wanaishi kwa mashaka, 'magaidi' wanalipiza kisasi wakipata nafasi.
Hamas au Hezbollah leo wanalala wanajisikia vizuri usiku wanaamua wafyatue maroketi kwa mkupuo kisha watokomee.
Kama Israel ingekuwa na air defence systems mbovu tungeziona kwenye kurushiwa maroketi na Hamas inafeli. Ilifanya interception ya 97% ya maroketi, hapo ni baada ya radar kupima trajectory na kugundua yatadondoka sehemu ya makazi. Kama hayadondoki sehemu hatarishi yaanachwa ila hata hivyo hakuna anayerusha kombora porini labda lipotee njia. Picha ni Iron Dome ikiharibu maroketi anga la Tel AvivView attachment 2389617
Kuhusu kupambana na cruise missiles, drones, anti ship missiles na ndege wanayo mifumo kama Barak na Arrow 3 (kuna 2 pia)View attachment 2389616
Ballistic missiles wanao mfumo wa David's SlingView attachment 2389615Mifumo yao ni multi layelled na kila mmoja una kazi tofauti na mwingine.
Hakuna mfumo kamilifu unaofanya kazi zote, ndio maana walioicheka MIM Patriot ya Marekani kushindwa kuzuia suicide drones za Houthi zilizolipua matenki ya mafuta ya Saudi Arabia ndio hao hao walishangazwa na S-300, Pantsir na Tungushka za Urusi kushindwa na drones za Ukraine.
Morocco imeagiza AD system, nimeona na UAE inataka iagize, Finland nayo inachagua mmojawapo ya mifumo miwili ya Israel. India walikuwa na joint project
Kuanguka kwa Israel ndo Kuna athari zaidi duniani.maana nayo ni DALILI kubwa ya kurudi kea yesu na mwisho wa duniaSasa hili nalo mpaka maandiko?
Mimi nakupa hii....kila utawala unaouona sasa ipo siku utaanguka.
Sio marekani, sio russia, sio China, sio Iran wala Israel.
Ni kama ugiriki, roman empire, bynzatines, Ottoman, Great Britain, Babylon, Persia, Mali empire nk. Nk. Walivyoanguka.
Kingdoms rise only to fall.